"Do you want to vote for the president who keeps mafisadi wakipeta ?"
"Do you want to vote for the president who afraids to take action on wala rushwa ?"
"Do you want to vote for the president...
2009-08-17 07:59:00
Elders' wisdom save CC meeting
CCM Central Committee members Ali Ameir Mohammed (left) and Abdulrahman Kinana chat in Dodoma yesterday.
By Faraja Jube, Dodoma
THE...
Nimepata taarifa kuwa kamati ya maadili ya ccm yenye wajumbe kama 11 hivi wakiwamo maraisi wastaafu inajumuisha pia lifisadi papa andrew chenge hivi huku si ni kuwachezea watz, chenge ana morality...
Sheria ya Kuzuia Rushwa imeainisha majukumu ya Kikosi cha Kuzuia Rushwa kwamba ni: -
(a) Kuchukua hatua zifaazo zenye lengo la kuzuia rushwa katika sekta za Umma, Mashirika ya Umma na Sekta...
..I never knew about this.
..hivi kuna wana-Historia wanaoweza kutuhabarisha zaidi kuhusu matukio kama haya ktk maeneo mengine ya Tanganyika.
Kanisa likiona watu wanataka kurudi kwenye utumwa...
Waziri Masha afichua siri
na Peter Nyanje
Tanzania Daima
RIPOTI ya Kamati ya Kupitia Mikataba ya Madili iliyoongozwa na aliyepata kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Lawrence Masha...
Mataifa 15 na jumuiya moja ya kimataifa, wamezitaka Serikali mbili za Tanzania kuhakikisha kila mwananchi mwenye haki ya kushiriki uchaguzi mkuu mwakani anaipata na kuvitaka vyama vya siasa...
KILA jambo lina wakati wake na ukifika halizuiliki. Serikali inaelekea kuanguka. Dalili zinaonekana wazi kadri siku zinavyosonga.
Ni vigumu watu kusahau kwa haraka, suala la kampuni ya kufufua...
Orodha ya MAFISADI WALIOKUBUHU
1. Zakhia Meghji:-
(A) aligawa holela vitalu vya uwindaji akaipotezea Tanzania Tsh 3,304, 903,050/- akiwa waziri wa Mali Asili na Utalii.Ovyo zaidi hata...
Miezi kadhaa iliyopita SUMATRA walitangaza kushuka kwa nauli za mabasi zikiwamo daladala ambapo safari zilizonyingi ndani ya Dar ni Tsh. 250/=.
Madreva wa daladala kwa kujua kwamba SUMATRA ni...
Heshima mbele wakuu!
Nathamini sana michango yenu katika jamii ya Tanzania.
Wadugu,uchaguzi unakaribia,imekua ni mazoea kama sio utamaduni,
kuona jukumu la kupiga kura linachangiwa kwa kiasi...
Uchaguzi unakuja, pombe, pilau, kanga na fulana!
Ayub Rioba
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Agosti 5, 2009
TUNAHITAJI fikra mbadala katika siasa zetu. Hili ni dhahiri. Nilijaribu kujadili...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeionya Jumuiya ya Nchi za Ulaya (EU) na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kutoiingilia kabisa mambo yake ya ndani na pia imeuponda utafiti wa...
BAADHI ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) wameshtushwa na ripoti za utafiti zilizotolewa na Kampuni ya Synovate ambayo imempa nafasi kubwa ya uongozi katika uchaguzi...
Membe angekua na akili hata za kuazima toka kwa Mkullo wizara ya mambo ya ndani wangekuwa na website ya kutuonya kuhusu UK na haswa kutuambia:
WAINGEREZA WANAONGOZA KWA KULAWITI WATOTO WADOGO...
Wanajf ongozeni nchi tungeanzia wapi? Kama tungekuwa viongozi wa Tanzania.
Kubadili katiba ya nchi?
Kuwakamata Mafisadi wote?
Kurudisha nyumba za serikali?
Kufukuza wawekezaji wa Madini wote...
Huyu mheshimiwa amekuwa kama vile Lowassa kila kukicha yuko safari hivi saa ngapi anakaa ofisni na kufanya paperwork?
Halafu I am still tryying to figure him out..lakini sijui but something is...
Leo najiuliza swali jepesi nikiendelea kuandika makala mpya ambayo inakusudia kwa mara nyingine kuamsha mawazo na kuchochea hisia za ndugu zangu watanzania tunapoifikiria nchi yetu. Chama cha...
CCM inazidi kupoteza sifa zake kutokana na Viongozi na wanachama wake kutosema ukweli kuhusu ufisadi,ubinafsi na kujilimbikizia mali.
Wanaoipotezea sifa CCM ni hawa tu au kuna wengine?
Angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.