CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetabiriwa mabaya ikiwemo kung'oka madarakani katika miaka 10 ijayo, au kusababisha mapambano na wananchi wanaodai haki na uhuru.
Aidha, viongozi walio madarakani...
waheshimiwa wameamua kujenga gjhorofa Unguja kwa kutumia BILIONI 20
litaukwa linaitwa GHOROFA LA MUUNGANO
as if wakishalijenga hilo ghorofa Zanzibar watayaachia hayo mafuta
wao hawautaki...
Mara nyingi huwa tunajadili nani anastahili kuwa rais, nani ana nafasi kubwa ya kuwa rais, nk. Mimi najiuliza swali moja ambalo labda lingemsaidia yeyote anayeingia IKULU kujua watanzania...
Sijui kama kweli tunataka mabadiliko au tunaombea mabadiliko yatokee. Sijui kama tunafanya ili kusababisha mabadiliko au tunasubiri wengine wafanye ili tufurahie mabadiliko; Sijui hata kama...
Tuliwacheka wahenga kwa kuwauza ndugu zetu utumwani. Mpaka sasa tunajiuliza kama kweli walikuwa na akili timamu. Sisi tumekwenda zaidi! Vizazi vijavyo, vitatushangaa sana, si kama vile...
Mfanyabiashara maarufu akabidhi mil 700/-
Mwandishi Wetu
February 22, 2008
BAADHI ya waliochota mabilioni ya fedha serikalini chini ya mpango wa kuagiza bidhaa mbalimbali nje ya nchi yaani...
Nimeona nirudie mjadala huu ambao ulijadiliwa kwenye forum hii Juni 5, 2006. Pengine tunakumbuka muswada uliokuwa ukijadiliwa Bungeni miaka ya nyuma ulioletwa na mzee Iddi Simba kuhusu uzawa...
Kiukweli mimi binafsi, nimeshitushwa na nimeshangaa na kujiuliza maswali mengi mno baada ya kuona picha ya Rais akimzawadia mtoto Pipi. nimejiuliza maswali mengi kuwa kwa mfano huo anataka sisi...
BARUA YA WAZI KWA ROSTAM na LOWASSA:
Kwa niaba ya Watanzania wote wanaoipenda nchi yao, nawaamuru kusoma barua hii niiandikayo kwenu kupitia mtandao huu wa Great Thinkers. Kama hamtasoma humu...
Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya msingi Kunzugu iliyopo tarafa ya Serengeti, wilayani Bunda , Seus Mogasa akiwafundisha wanafunzi wa darasa la sita wakiwa wamekaa chini. Zaidi wanafunzi 400 wa...
Akutana na kigingi Igunga
ZAMA za mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kushinda kinyang'anyiro cha ubunge bila kupingwa ndani ya chama chake, sasa zimefikia tamati, imefahamika.
Anayejitosa kumaliza...
Katika kile kinachoonekana kutofautiana na maamuzi ya NEC, baadhi ya wapambe wa Mh SS wanaoshi katika jimbo la Urambo wanafanya maandalizi makubwa ya kumpokea Mh SS kwa maandamano makubwa ikiwa ni...
Katika pita pita zangu nikajikuta nimetembelea tovuti yahttp://www.chadema.net na mara moja macho yangu yakavutwa kama na sumaku na maneno haya yaliyo katika ukurasa wa mbele.
Nilipoyasoma mara...
Tanzania tourism to reap nothing from World Cup, others to gain
By Apolinari Tairo, eTN Staff Writer | Aug 24, 2009
DAR ES SALAAM, Tanzania (eTN) - Failure by Tanzanian government...
Chenge aandaliwa mashitaka ya rada
Mwandishi Wetu Aprili 1, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Adokezwa aandae wadhamini wake
Lengo ni kumuepusha asiende lupango
BAADA ya...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ameipongeza Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa, NAO, kwa kazi nzuri inayofanya ya kutoa ripoti ya ukaguzi kwa wakati, hivyo kusisitiza ripoti hizo lazima zifanyiwe kazi kwa...
Everyone can say yes because saying yes no longer says much, and saying no has become too costly. Acceptance of the two-state solution signals continuation of the Tanzania-Zanzibarians struggle by...
Ijumaa ya tarehe 21.08.2009;katibu mkuu wa chama kinachotawala nchini Tanzania(CCM) Yusuph Makamba alisema, Rais Jakaya Kikwete atatimiza ahadi zake alizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.