Ndugu zangu wana JF naombeni msaada wenu kidogo, wakati nipo mdogo kule kijijini niliwahi kusikia kuwa serikali hairogeki nikakubaliana nao, lakini jinsi hali ilivyo hapa tz naanza kuamini kuwa...
Ukiisoma vizuri hii website utakuta makosa mengi sana lakini inawez akukupa insight kidogo jinsi gani ofisi ya Pinda inavyoongozwa na bunch of JOCKERS
tazama upande wa policy kisha utagundua...
I have been thinking for quite some time now about the crisis of legitimacy that is facing Tanzania's top leadership. Today I got an idea that maybe this crisis has nothing to do with our...
Lets not forget who is really driving the recovery
(Fortune Magazine) -- When lunch break comes at the construction site between Shanghai and Suzhou in eastern China, Xi Tong-li and his fellow...
Katika hali ya uhalifu inayotokea kwa hivi sasa na hususani za ujambazi na agali za vyombo vyetu vya usafiri, je tunaweza kusema ni kushindwa kazi kwa jeshi letu la poilisi au wahalifu hutumia...
Zanzibar police yesterday seized 20 landmines at Chake Chake, Pemba, in a continuation of a mysterious series of incidents analysts associate with deep-rooted political rivalry in the Isles.
The...
Ili kuwaokoa msife kwa vidonda vya tumbo chukueni hii, modes please iacheni kwa muda watu wacheke otherwise watakufa kwa stress then you can move it to vichekesho...
Naomba maoni ya wanajamii juu ya kauli ya naibu waziri wa wizara ya kilimo na usalama wa chakula wakati anazungumzia kitu wanacho kiita mapinduzi ya kijani yenye kauli mbiu mazao na kipato zaidi...
Pinda kwa mara nyinge amejitokeza na kuwadhihirisha wazanzibari nini kina ajiria katika akili yake,kwani siku zote inapofika wazanzibar kupigania haki yao anakuwa hafurahi ni zahiri shahiri haya...
Katika kuchangia hoja ya Richmond Mheshimiwa Karamagi alisoma kimemo alichotumiwa na mheshimiwa mwenzake na maneno yake yalisomeka hivyi
Muungwana Akivuliwa Nguo huchuchumaa ili aibu ipite...
Hivi kwa nini tusiondoe kodi on Solar panels na Wind turbines au tuseme chochote kinachosadia kwenye masuala ya alternative energy?
Tumeweza kufanya hivyo on ma trekta na sioni sababu kwa nini...
MPENDWA msomaji, unafikiri Rais Jakaya Kikwete ana watu wanaomshauri juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa?
Unafikiri wapo watu wanaomshauri kuhusu masuala ya kisiasa na kiuchumi...
RAIS Jakaya Kikwete amesema ahadi zote zilizotolewa na Chama cha Mapinduzi (CCM) zitatimizwa kama ilivyodhamiriwa.
Akizungumza na wananchi wa wilaya ya Manyoni wakati wa sherehe za kuweka jiwe la...
Nimesoma mada nyingi hapa, mtu akiandika mawazo yake kuhusu kiongozi anashushuliwa na kuanza kuambiwa kuwa analipwa na mafisadi.
Imefika wakati watanzania tuwe tunakubali kuambiwa ukweli hasa...
Malecela, Kilango watema cheche
Imeandikwa na Maulid Ahmed; Tarehe: 6th August 2009 @ 16:53 Habari Leo
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amesema, kuna udini na ukabila katika Bunge la...
Kuna habari zime enea sana hapa Magu kwamba Bw.Madete naye mhandisi amenuia kugombea Ubunge Magu .Madete mwenyewe yuko kimya baada ya kuona uvumi umekuwa mkubwa nimeona nije hapa kamvini kuuliza...
Kumekuwa na tabia ya viongozi wetu kutoa speech za kiswahili panapokuwa na mgeni toka nchi au taasisi za kimataifa kama IMF, UN, World Bank bila ya hata kuwepo kwa vifaa vya kutafsiri au...
Kuna taarifa za kuzuka switafahamu katika vituo vya uandikishaji wapiga kura katika DKWK, katika jimbo la uchaguzi la Ole, Wilaya Wete Kisiwani Pemba.
Hali hiyo imepelekea risasi kadhaa...
na Amos Nyaigoti
WAFANYAKAZI tisa waliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya simu za mikononi ya Zain, wameishitaki menejimenti ya kampuni hiyo katika Mahakama ya Kazi jijini Dar es Salaam, wakidai fidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.