Haiwezekani tukawa hivi, wote tukawa hiv, yaan nchi nzima tukawa hivi! kwa nini tuko hivi lakini?
nchi nzima tumekuwa tukilalamika,tunaona maovu yanafanywa na viongozi wa juu, kila kitu...
Mkuu wa Mkoa ahojiwa na TAKUKURU
Na Jabir Idrissa, MwanaHALISI,
Jumatano, Agosti 5-11, 2009.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Leon Simbakalia amekiri kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Ministry in dubious exam deal
THE Ministry of Education and Vocational Training last year awarded a private company a 72.6m/- deal to print primary school leaving certificates contrary to a...
Nilikuwa nawaza tu:(yote ni original)
1. Mwanasiasa akianguka wakati wa uchaguzi ni vizuri kumuinua?
2: Je fisadi ambaye ameamua kuokoka anaitwa Fisadi Mlokole?
3: Kwanini unafikiri inaitwa...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amesema hakuna Mtanzania anayemchukia Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, ila malalamiko yao dhidi yake ni kutaka kujua ukweli...
Nawaomba watanzania wenzangu tuondokane na dhana kwamba rais ni kama Mungu kwa hiyo hasogelewi wala haguswi kwa maana ya kukemewa. Woga huu ndiyo uliotufikisha hapa tulipo na mambo kuharibika...
KIONGOZI wa Upinzani bungeni Hamad Rashid Mohamed, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kujiuzulu kutokana na kile alichosema ni serikali yake kushindwa kufanya kazi hivyo kukosa imani kwa wabunge wa...
"Abiria watarajiwa wakiangalia ratiba ya treni ya reli ya kati leo ambapo baada ya treni la bara kuingia, la kutoka dar kwenda mwisho wa reli halikuondoka na badala yake wameahidiwa litaondoka...
*ALIKUWA AKIONGOZA MSAKO WA MAJAMBAZI
Daniel Mjema, Moshi na Rehema Matowo, Hai
MKUU wa Polisi Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro (OCD), Mrakibu Petro Mtae (43), amefariki dunia baada ya...
Watu wasiofahamika huko Zanzibar, wameanza kuzuia wanachama wa CUF kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,
Watu hao wanapita kwenye maeneo ambayo ni ngome za CUF na kutangaza kuwa...
Date::7/25/2009
Dk Hoseah aonywa, Karamagi, Msabaha bado wachunguzwa
Na Kizitto Noya, Dodoma
Mwananchi
SERIKALI imempa onyo Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa...
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh
naona sasa hii imani imetushinda jamani...iweje kila siku baadhi ya wafanyakazi na ni wale wale ndio wanaoenda kwenye semina ....hasa za mikoani....kwani hakuna...
CUF, CHADEMA kipi kitatufaa?
WATANZANIA wenzangu, kama nilivyofafanua wiki mbili zilizopita, kwa kigezo cha kwanza, cha haiba na imani ya wananchi (walio wengi), Chama cha Wananchi (CUF)...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Amani Karume amefanya uteuzi wa Jaji Mkuu bila ya kushauriana na Tume ya Utumishi ya Mahakama imebainika.
Taarifa za uhakika...
Taasisi ya kuzuia rushwa malawi ACB imekamata mali za aliekuwa RAIS WA MALAWI BAKILI MULUZI....kama dhamana katika kesi ya rushwa inayomkabili....hatua hiyo imechukuliwa wakati bado inaendelea na...
Diwani anayetuhumiwa kwa mauaji ateuliwa
Source Majira: Monday, 03 August 2009
Na Suleiman Abeid, Kahama
DIWANI wa Kata ya Malunga (CCM) wilayani Kahama mkoani Shinyanga Bw.Jumanne...
Polisi muimarishe yafuatayo ili kudhibiti uhalifu Nchini:-
1. Muimarishe Polisi Jamii na muwaimarishe kimbinu na kizana.
2. Polisi muwe wasiri kwa taarifa mnazopata kutoka kwa raia wema.
3. Muweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.