Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania, Kwa Ari mpya, Nguvu Mpya NA Kasi Mpya,
Tanzania yenye neema tele inawezekana,
UTANGULIZI: 1
(8). Jukumu la kwanza ni kuitoa Tanzania kutoka kwenye dimbwi la...
Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Wilaya ya Micheweni: Taarifa ya Awali Siku ya Pili 8 Julai, 2009
Watu 584 wanyimwa haki ya kuwa wapiga kura katika siku ya pili...
Kwanza haina sababu ya kufanya hivyo. Pili, inachosha kusikia wimbo wao wa malalamishi kuhusu CCM, dola n.k lakini kubwa ni kupoteza mtaji wao wa kisiasa. Wamuunge mkono mgombea wa chama kingine...
Kama wiki mbaya kwa wafanyakazi wa JULIUS NYERERE AIRPORT NI wiki hii.
kuna matukio mawili yametokea ambayo hayo ni yale tu kati ya 50 yaliyofanyika watanzania wakapata kujua nini kinaendeleaa...
Mgonja, Ndulu differ on Tangold ownership
By Richard Mgamba and Mkinga Mkinga
THE CITIZEN
Confusion on who were the real owners of Tangold - the predecessor of the defunct Meremeta Gold -...
EUROPEAN UNION
DELEGATION OF THE EUROPEAN COMMISSION
IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESS RELEASE
EU approves biggest ever co-operation programme for Tanzania
The EU Member...
( Kutoka kwanzajamii.com)
Andrew Mushi
NITAMZUNGUMZIA Michael Jackson aliyefariki wiki jana ili kuweza kuona tunachoweza kujifunza kwake na kukitumia katika maisha yetu. Michael Jackson ni...
Sijui ni lini uchaguzi Mkuu wa Chadema utafanyika japo nakumbuka ulikuwa ufanyike katikati ya mwaka huu. Kwa vile muda uliobakia kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 ni kama mwaka mmoja na nusu tu, je...
Ole wao wapinzani mwaka 2010
Mambo ya Ndani Kuajiri askari wapya 7,000 kukabili vurugu za uchaguzi
na Salehe Mohamed, Dodoma
SERIKALI inatarajia kuajiri askari 7,000 pamoja na kununua...
Kikwete aelemewa
Mwandishi wa Raia Mwema
Julai 8, 2009
Wasaidizi waelezwa kumsusia kazi
Serikali yaendeshwa 'kizima moto'
KUNA maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kuwa mfumo wa...
JKT ilianzisha na Israel na hata sasa wanafufua JKT kwa kuwashirikisha.
Mzee Madela wa madilu point yako katika thread ya Ubalozi wa israel imenikumbusha kitu muhimu sana kuhusu jeshi la...
Gazeti huru la upingaji ufisadi Nchini sasa inaonekana linazama hasa baada ya siku hizi silisikii katika kipindi cha magazeti kama Vile Leo Redio I , Redio Free na hata Zenj fM, lakn hata ile...
ZAIDI ya wanafunzi 1,800 wa shule za misingi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, wanatumia mawe, magogo na mifuko ya plastiki maarufu kama rambo kama viti vya kukalia wawapo madarasani kutokana na...
Kuna taarifa nimepata sasa hivi toka kwa mdau mmoja yupo Bandarini Dar es Salaam anadai kuna shehena ya mabomu imenaswa bandarini hapo.
Kama kuna waandishi wa habari (Clouds FM wamesharipoti...
Katika kipindi cha bunge naibu waziri wa mambo ya ndani amewataka wabunge wawe makini wanapozungumza mambo yanayowahusu askari wetu watafute forum ambazo zitakuwa na usiri na si kama bunge ambalo...
Naomba mnisaidie wadau,nimeambiwa kuwa huenda hadhi ya nchi yetu imeshuka kwa kiwango kikubwa kutokana na kuendelea kutumia Noti ambazo bado zina majina na saini za akina Basil Mramba na Daudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.