Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni nani huyo Jenista Joakim Mhagama? Mbunge wa Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Je, ni yule yule aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu katika kipindi cha mwaka 2000-2005? Akiwa karibu...
0 Reactions
84 Replies
17K Views
Na Christopher Maregesi, Musoma WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameupa uongozi wa Mkoa wa Mara muda wa miezi sita kuanzia leo ili kuwasilisha mpango mkakati wa kumaliza mapigano ya wenyewe kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
CCM wafanya mkutano kanisani, wampiga kiongozi wa kigango Na Frederick Katulanda, Biharamulo WAFUASI wa CCM juzi walivamia Kanisa Katoliki, Kigango cha Nyantakara kilicho Kata ya Lusahunga na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo Mh Zitto Kabwe ameanza hotuba vizuri, kwa kusema kuwa barabara hazijengwi kwa hela za chama chochote cha siasa bali kwa kodi za wananchi. Pia Zitto ameongelea suala la KADCO ambao...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Waungwana leo kwenye kipindi cha maswali kwa PM bungeni sikufurahishwa na kitendo cha Spika kila wakati kuingilia kati maswali ya wabunge kwa PM, suala la wizi wa nyaraka ZNZ na chanzo cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini, Hamis Kagasheki, ametangaza kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu mwakani. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano hivi...
0 Reactions
87 Replies
12K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SERIKALI itazipa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara hadhi ya mkoa wa kipolisi kuimarisha ulinzi na usalama kukabiliana na wimbi la mauaji ya mara kwa mara...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tunapoelekea uchaguzi tutaona mengi. Tangu jana yamekua yakipita matangazo hapa mjini kwamba wana ccm watakuwa na maandamano ya kuunga mkono utekelezaji wa ilani za chama na utahutubiwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mh. Mramba alipokuwa Mkurugenzi wa Viwanda vidogo vidogo (SIDO) aliweza. Aliiongoza SIDO vizuri sana kuliko SIDO ya sasa ambayo haiwezi kusomesha wataalamu au kuwatumia wataalamu wa VETA. Pia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani ilikuwa hivi; Cheyo ameuliza swali kwenye kamati za kupitia mahesabu ya wizara ya mazingira. Alipouliza Sita hakuelewa ikabidi amuulize tena. wakati anauliza Sita akaingilia kuwa je wewe...
0 Reactions
194 Replies
21K Views
An Act to amend the Executive Agencies Act, with a view to enhancing efficiency of executive agencies. Abstract: The Executive Agencies Act, Cap.245 was enacted in 1997 for purposes of...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
:o Ni uvumi au kweli kuhusu mbunge wa jimbo la lupa katika wilaya ya chunya mkoani Mbeya? mbunge wa zamani wa jimbo hili Kasaka anaandaa makombara ya kum-defeat Mwambalaswa ili arudi tena DODOMA..
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Muhibu Said Kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ya kumtahadharisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, kwamba kama anataka kurejea bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
HIVI viongozi na WABUNGE wetu wanajua kwamba mtu anayetaka kusoma toka kwenye internet masomo kama ya Lugha, Dini na mengineyo ambayo yanawasilishwa kwa sauti ISP wa Kitanzania hawaruhsu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wilfred Lwakatare ameandika barua akiomba kujiuzulu nafasi za uongozi zake zote alizokuwa nazo ndani ya CUF. Lengo lake ni kujikita jimboni kuelekea uchaguzi mkuu
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Kwa kila anaeangalia vipindi vya Bunge la Tanzania katika TV ataona ni jinsi gani wabunge wanavyoikanyaga Bendera ya Taifa hili la Tanzania ,kwa vyovyote vile iwavyo wanaidharau Bendera yetu hii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
BENKI ya Dunia (WB) imeeleza kuwa, pamoja na viongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, kuelekeza juhudi zao za kuzifanyia mabadiliko ajenda mbalimbali za uchumi wa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Waziri awatahadharisha wapiga kura wa Busanda kuwa wasipomchagua mgombea wa CCM watabambikiwa kodi na kunyang'anywa leseni - Makame kimya ! Katibu Mkuu wa CCM amtisha msimamizi wa uchaguzi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika Nchi yetu Viongozi wetu wa kisiasa wamekuwa wagumu sana kuomba msamaha wanapokosea,sababu ni nini?Mfano tu,Waziri anajibu swali la mbunge kwa kusema "na wewe tafuta hoja nyingine",kuna...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
In October 1973 the people of Tanzania decided by referendum? - to shift the National Capital of Tanzania from Dar-es-Salaam to Dodoma, the geographical centre of the country, in Central Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom