Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika (OAU) Dk. Salim Ahmed Salim amewataka wazanzibari kushikamana katika kudai haki zao na kuacha kutumia visingizio visivyokuwa na msingi ambavyo vinaweza...
Baada ya Rais Zelaya kukaidi amri ya Jaji Mkuu kwamba asiendeleze tamaa zake za kutaka kubadili katiba ili ajiruhusu kutawala Honduras kwa mwongo mwingine, Jaji Mkuu aliamru Jeshi limkamate na...
Perege Gumbo
The Swiss government was waiting for a request from the Tanzanian judicial system to help hunt and seize any money obtained through corrupt means and deposited in Swiss banks...
Sunday, 28 June 2009 10:32
*Wataka afikishwe mbele ya sheria
*Mwingine awashukia wanaomtetea
*Aambiwa alikiuka sheria ya maadili
Na Reuben Kagaruki
SIKU moja baada ya Serikali kumsafisha...
Hivi kuna Vita kati ya Tarime na Rorya? Au ni utengenezaji wa news? Maana nimesikiliza recorded BBC Swahili News bulletin, na kama kawaida news kwa vyombo vingi vya habari huwa ni habari mbaya...
Kizazi cha uhuru ndiyo kinatuaga sasa. Wale waliokuwa watu wazima wakati Africa ikigombea uhuru wanaanza kututoka na wale waliokuwa watoto wakati huo ndiyo wanaelekea uzee sasa. Siyo vibaya...
Nimeona niandishe mada nyingine ambayo haihusiani hasa na viongozi lakini kwa namna fulani inatugusa. Huko Nyuma, Mzee Iddi Simba alikuja na hoja kuwa kama kweli Tanzania inataka ipige hatua kubwa...
Makanisa makanjanja yadhibitiwe – Kilaini
Imeandikwa na Maulid Ahmed; Tarehe: 19th June 2009 @ 10:26 Imesomwa na watu: 230; Jumla ya maoni
Baada ya serikali kusitisha mpango wa kuyafutia...
CHAMA cha wananchi (CUF) kimezindua mkakati mpya unaolenga kushinda uchaguzi mkuu ujao, huku ikitoa tuhuma dhidi ya serikali na Chama cha mapinduzi (CCM) kuhusu undanganyifu.
Katika mkutano wa...
Kwa Uchache: Ya Meremeta, Tangold, JWTZ na Signatories
Waziri akizima hoja ya Slaa kuhusu Ukaguzi wa Meremeta/Tangold alisema haiwezi kujadiliwa hadharani kwa kuwa inahusu mambo nyeti ya...
Atinga na kisu bungeni
Selemani Mpochi
Askari polisi mwenye namba E 5420 Hassan Ngoma, ambaye yupo katika kikosi cha Polisi Bunge, jana alinusurika kuchomwa kisu na kijana mmoja ambaye jina lake...
na Mwanne Mashugu, Zanzibar
WAWAKILISHI wa kambi ya upinzani visiwani Zanzibar wameonya kuwapo kwa hatari ya kuibuka mpasuko mpya wa kisiasa kama urasimu hautaondolewa katika utoaji wa...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amemshambulia Mbunge wa Kigoma Kaskazi Zitto Kabwe na kumtaka aache kuwapotosha wananchi kuwa, jitihada zake ndiyo zilizosababisha ujenzi wa barabara ya Kigoma.
Akitoa...
Hata JF kuna watu wengi tu hawachangii, je nao ni bubu?
Orodha ya wabunge bubu bungeni yawekwa hadharani.
Na Leon Bahati
WAKATI tukielekea mwaka wa lala salama wa Bunge la mwaka 2005-2010...
Wajumbe wa Bodi, Mameneja na Watangazaji TBC ya Afrika Kusini wajing'atua wenyewe.....
ASILIMIA kubwa ya wajumbe wa bodi na Wafanyakazi wa South Africa Broadcasting Corporation [SABC]...
Anatomy ya NSSF, PPF, LAPF, NHSF, INSURANCE inaonekana uzuri zaidi unapotazama mashirika haya kama yanayoanzishwa ili KUWANYONYA WAFANYAKAZI kwa kuwapa riba ndogo na kuwanyima kutumia akiba zao...
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
VILLAGERS living near a gold mine owned and run by Canada's Barrick Gold Corp. in Tarime District, Mara Region are demanding the immediate closure of the project...
Umebaki mwaka mmoja tu Rais JK amalize muhula wake wa kwanza wa miaka 5 kuitumikia TZ kama mkuu wa nchi.Na bajeti ya mwaka huu ndiyo ya mwisho kusimamiwa kimalifu na Rais aliyepo madarakani kwani...
Kama nitakuwa na kumbukumbu nzuri is almost a week toka Mh.Seleli alivyochukia bungeni na kutuhumu kuwa Bunge halina maana kujadili kitu ambacho tayari kinaendelea.Hivi how long it takes kujibu...
Baada ya kutoa taarifa za uongo kuhusu CHADEMA kumiliki silaha mbali mbali zikiwepo Magobore, mapanga, visu na tindikali mbele ya vyombo vya habari sasa RPC wa mkoa wa Kagera Salewi anakabiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.