Richmond mtihani mgumu kwa Pinda
Monday, 22 June 2009 07:44
*Nyumba za Serikali donda jipya
*Mikataba ya TICTS,TRL yafukuta
*Wabunge sasa wachoshwa misamiati
*Wadai kuna...
Date: 6/16/2009
Mbunge John Shibuda (CCM) naye ameungana na wabunge wengine kushutumu Baraza la Mawaziri kubariki ufisadi nchini.
* Ahoji uzalendo wao, asema nchi inapoteza dira,mwelekeo...
Mbunge wa Karatu, Dk. Wilbroad Slaa, amesema atahoji kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Rais wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella za matumizi mabaya ya Sh. milioni 180 za bunge hilo...
MPANGO wa Serikali wa kuhami na kunusuru uchumi dhidi ya mtikisiko wa uchumi duniani, uliotangazwa na Rais Jakaya Kikwete, umetiliwa shaka na kambi ya upinzani ambayo imesema unaweza kuleta "EPA...
Speaker wa bunge la jamhuri ya muungano katika bunge la leo wakati wa matangazo amevikoromea vyombo vya habari vinavyokiuka maadili na kupotosha wananchi at the same time kusababisha chuki kati ya...
Waungwana,
Leo nimeona demonstration ya teknolojia itakayowezesha kukomesha wizi wa mitihani ya kitaifa ya Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo vya Kitaaluma. Teknolojia hii inafaa hata kwa kuzuia...
ohhh For Frack Sake (FFS)... yameishia wapi matisho na lenge lenge za wabunge kuwa watakwamisha bajeti?
Well... leo ni ijumaa, wakati ambapo:
1. Inadaiwa kuwa mmiliki wa ze utamu amekamatwa...
Kuna watu wanaosema Serikali ya Tanzania inawajali watu wake. Lakini ukiangalia jinsi watu hao wanavyonyanyaswa na vyombo vya dola utasindwa kuamini maneno hayo. Mfano, watu wananyanganywa ardhi...
Baada ya kufikiria kwa kina nimegundua kumbe ni kweli waafrika ndivyo tulivyo. Pamoja na jitihada zote za Chika Onyeani, Mtunzi wa Capitalist Nigger (Bepari Jeusi) kujaribu kutusaidia tuwe na...
Waungwana,
Leo ninakuja kwenu (iwapo nitakuwa nimekosea mnikosoe), kwa mara ya kwanza kabisa, nikichambua undani wa Wabunge wa CCM kuikataa bajeti ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Baada ya sakata la misamaha ya kodi kwa mashirika ya dini kumalizika kwa serikali kusalimu amri, nimebaki na maswali mengi bila majibu. ukifikiri kwa undani sana utagundua kwamba ni kweli misamaha...
Umeona tabia zetu eeh?
Huko Oman tunasifika kwa makubwa zaidi
==============================
Burglary ring cracked
Police say they have cracked a burglary gang that stole almost dhs10 million...
Takribuni kwa siku kadhaa sasa huku kwenye JF kulikuwa na mijadala kuhusu suala la Mh Zitto Kabwe kutogombea ubunge mwaka 2010 na pia katika utetezi wake amesema kuwa anataka kujenga chama na...
Najua mtanishangaa lakini nimepata ufunuo kuwa mabadiliko ya haraka yatawezekana iwapo tu nguvu hiyo inatoka CCM(sijasema hayawezekani ila nimesema ya haraka). Kwa wanaofuatilia muelekeo wa siasa...
Waziri aliyepewa dhamana na rais kupitia kwa wananchi wa jimbo la kilosa alimtukana mtangazaji wa wako redio wakati alimpomhoji maswala ya DECI. Alimtukana stupid na shenzi live redioni wakati...
Opposition needs money to reorganise - Chipaka
By Nasser Kigwangallah
18th June 2009
The Tanzania Democratic Alliance (TADEA) national chairman, John Lifa Chipaka, has...
Habari za hapa Jamvini wanzengu nimekuwa mgeni kwa mara ya kwanza leo nimeingia hapa na nimejikuta naingia baada ya kupewa ushauri na jamaa zangu hapa mjini kuwa kama unataka taarifa za uhakika...
In marketing branding reigns supreme. Branding is one of the most effective marketing tool (not the only one) used in business for marketing and selling products. Branding is first and foremost...
ONE of the greatest puzzles in my life is the Nobel Committee pretending that the late Julius K. Nyerere, founding President of the United Republic of Tanzania, never existed.
I do not have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.