Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Katoto ka nzi kaliko huko Busanda kametupenyezea taarifa ifuatayo:
0 Reactions
74 Replies
14K Views
Asubuhi hii mjini Dodoma, Mkulo amekutana na waandishi wa habari na kutokana na yale aliyoyaeleza kuna uwezekano mdogo wa waliopanda Deci kulipwa fedha zai zote. Kwa mujibu wa maelezo ya Mkulo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Twelve political parties operating in Zanzibar yesterday revived their ‘alliance’ vowing to win the next Zanzibar general elections by strengthening the partnership including placing one candidate...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI NA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA HAMAD RASHID MOHAMED (MB) WIZARA YA FEDHA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2008/2009...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi, Heshima mbele. Naomba niulize na ninaomba majibu maridhawa ili mimi na watanzania wengine tujifunze kupitia JF. Swali langu ni "nini hasa maana ya rais kuhutumia/kuongea na wazee wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf nimeamua kupost hili jambo baada ya kuona mpiganaji anataka kua soko la mkonge kwa kulinda biashara ya mpiganaji mwenzie. "Mh kimaro amemuuliza swali PM Pinda kuwa serekali imelazimisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
By John Blake CNN (CNN) -- At first, the children's eyes light up with anticipation. Christmas comes early. Tanzanian students celebrate receiving Books for Africa textbooks. Then...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupande mbegu za uzalendo Na Padri Privatus Karugendo Mnamo mwaka 1976, Kule Soweto, Afrika ya kusini, maelfu ya watoto weusi wa shule waliingia mitaani na kufanya maandamano ya zaidi ya nusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pinda katangaza hivi punde mjini Dodoma kuwa baada ya kelele nyingi za wananchi, viongozi wa dini na wabunge, serikali imeamua kugeuza uamuzi wake wa kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Jk yuko Ruaha National Park siku ya tatu sasa. Sijui anataka kuja na lipi.
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Kushughulikia mafisadi ni kazi ngumu - Pinda 2008-04-10 10:35:14 Na Joseph Mwendapole na John Ngunge, Dodoma Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, amesema kuwashughulikia mafisadi ni kazi...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Sharon Sauwa Jumla ya shilingi bilioni 67 zinatarajiwa kutumika katika kufanikisha maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwakani kwa ajili ya kuwapata madiwani, wabunge na rais...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwinyi Sadallah Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatarajia kutumia Sh. bilioni 412.6 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2009/2010. Akitangaza mwelekeo wa bajeti, Waziri wa Nchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nasikitika kwa kusema nchi yetu haina uongozi coz umejaa rushwa na ubinafsi, Kwa nini nasema hivyo: 1. Hivi uliona nchi gani shirika limebinafishwa lakini linapewa pesa na serikali, Mfano...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
2009-06-17 08:18:00 MP protests Sh35bn for top officials' trip By Damas Kanyabwoya, Dodoma THE CITIZEN An MP yesterday challenged the allocation of a whopping Sh34.6 billion in the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa fedha ameshindwa kuyafutia makampuni ya mafuta ushuru kwa kigezo cha kwamba mkataba unawabana, lakini nionavyo mimi ni kulinda maslahi yao, kwani kiukweli wao ndio wamiliki wa hayo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JK Hotuba za Waheshiwa Raisi wa JMK na mawaziri wa fedha na kilimo walizozitoa hivi karibuni bungeni zinaonyesha kuwa serikali ina mpango wa kukitilia mkazo kilimo, TENA. Hili ni jambo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wana JF mimi hili linaniumiza kichwa kila siku hivi kweli ni nini kinashindikana kwa serikali kuamua kuyauza magari yote ambayo yanaliingiza hasara taifa na kubakiza gari moja kila idara la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mapinduzi yana sura mbili:ama kutumia majeshi au kuunda serikali mbadala). Je Tanzania tunahitaji ipi kati ya aina hizo. LABDA NIDOKEZE MAHITAJIO YA KUFANIKISHA AINA YOYOTE YA MAPINDUZI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom