Monday May 11, 2009
Local News
Msekwa: CCM firm due to grassroots base
JAPHET SANGA in Johannesburg, 11th May 2009
Ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party Vice-Chairman (Tanzania...
Kutokana na hali ya kiuchumi ya dunia na mwitiko wa nchi tajiri kukabiri hali hizo ni wazi kuwa kuna vitu ambavyo serikali inapaswa kuvifanya na kutoviacha soko huru. Mwaka 1967, tulitangaza...
Tanzania kila mara utasikia ajali zimetokea watu wamekufa , ama dereva kaacha njia kisa speed ama mtu kasababisha na wengi wao wakiwa hawana sifa za kuendesha magari .Leo hii nimeshangazwa sana...
Jamani hebu nisaidie hili suala kama lilivyo mana nashindwa kuelewa content kama lina mahusiano na ufisadi na if we real serious.
WAKATI kesi ya watuhumiwa 11, walioiba kompyuta katika ofisi ya...
Haya wakuu nimepata hii SMS muda mchache sana uliopita, vipi imekaaje?:-
1. Subash Patel amefanya Press Conf leo saa tano Dar es Salaam.
2. Hakukuwa na taarifa zilizoeleweka kwani kwanza...
Kama kuna kitu ambacho Serikali ya Tanzania inasifika kwa usiri, ni kuficha kwa kipato cha viongozi na usiri wa mali zao.
Tumeonelea kwa muda mrefu ni jinsi gani kila kitu kinafanyika kwa siri...
Weekend iliyopita RA amefanya tafrija ya kujipongeza kwa kulipua bomu jipya liitwalo NYANGUMI WA UFISADI.
Tafrija hii imefanyika nyumbani kwa RA, maeneo ya ubalozi wa Marekani wa Zamani, kuna...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KONGAMANO la siku mbili lililoandaliwa na asasi ya Concern for Development Initiative in Africa (ForDIA) lilimalizika jana (Ijumaa 8 Mei 2009) jijini Dar es Salaam...
Listi ya mafisadi ilikuwa bado mbichi na serikali ilikuwa bado inatafakari ifanye nini, ikaingia Richmond. Serikali ikachanganyikiwa kwa kuanza kujitokeza kwa dalili za wazi za wananchi kukosa...
Picked this up from Daily News website:
The Director of Public Prosecution (DPP), Mr Eliezer Feleshi, said yesterday that his office has started to scrutinise reports of graft, tax evasion and...
Mates, let's talk about politics. Tanzanian politics to be specific. Having taken a passive role in Tanzanian politics, most of us have witnessed the once mighty CCM going into a downward spiral...
Je, Tanzania yahitaji kubadili mfumo wake wa uchaguzi kuepukana na yaliyoikuta Kenya na Zimbabwe?
Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania ni kama mifumo itumikayo Kenya na Zimbabwe. Tunatumia mfumo uitwao...
Tanzania claims $58m war debt from Uganda
Yasiin Mugerwa
Parliament
It may be 30 years since the war ended but Tanzanian authorities who came to Uganda as liberators still want the pay check for...
Tanzania kwa upande wangu ingefanya vizuri zaidi kama tusingekuwa na vyama. Hii model ya vyama tunaiga kutoka kwa Europe lakini kwa upande wangu Tanzania ingekuwa mbali kama ingekuwa na wagombea...
Wandugu vipi mawazo yenu, kwamba labda rais ajaye wa Tanzania akitokea bara (nje na mikoa yote iliyo pwani mwa bahari ya hindi), nchi yetu inaweza kuendeshwa vyema zaidi kupelekea maendeleo na...
Mara nyingi najiuliza umuhimu wa siasa lakini bado sijapata jibu.
Tena nahitaji msaada wa kujulishwa kama siasa ni lazima katika kuendesha nchi.
Naona siasa kama porojo zinazopingana na...
Mafisadi papa: Si ubaguzi ni masilahi ya taifa
Padri Privatus Karugendo
Raia Mwema – Muungwana ni Vitendo Mei 6, 2009
SIKUSUDII katika makala hii kumtetea Reginald Mengi, na wala siandiki...
Wadau kuna jamaa wamenitonya hapa watakutana na JK mchana huu hapa DK. Mimi nipo mbali kidogo na Copenhagen so kama kuna maswali mnadhani
ni muhimu akaulizwa mnaweza kunipenyezea kabla ya 11:30am...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.