Spika Sitta alia na mafisadi wa bara la Afrika
Na Leon Bahati
Mwananchi
UCHUNGUZI uliofanyika hivi karibuni umebaini kuwa mafisadi barani Afrika wanaiba fedha nyingi za serikali ambazo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA CHADEMA IRINGA MJINI KUHUSU MSIMAMO WA DR. SLAA
(MB) NA KATIBU MKUU WA CHADEMA KATIKA MASUALA YA MASLAHI YA WABUNGE NA VITA DHIDI YA UFISADI.
1.CHADEMA...
NO WONDER THE INFLATION RATE IN ZIMBABWE IS 2.5 MILLION %
When they were deliberating on energy and power, they were sleeping.
When they were deliberating on economic...
Serikali yavunja wodi ya Raza Z'bar
Tuesday, 05 May 2009 16:45
Na Said Mwishehe
HATUA ya kuvunjwa jengo la wodi ya wazazi ya Hospitali ya Kivunge iliyoko Mkoa wa Kaskazini 'A'...
Vita dhidi ya Mafisadi inahitaji nguvu ya wananchi sasa. Maana mpaka sasa wananchi wamekuwa wasikilizaji na watazamaji tu. Umefika wakati ambapo tunahitaji kutambua kama hii vita ya mafisadi...
Mods, hii inaweza kuunganishwa na main thread baadaye.
waendesha mashitaka leo wamekiri mahakamani Kisutu kuwa mashitaka waliyomfungulia Liyumba na mwenzake yana makosa. Kwa hiyo wameiomba...
Sophia Simba zao la mafisadi?
Na Mbasha Asenga
MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele
SOPHIA Simba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Utawala Bora, amemtuhumu Mwenyekiti Mtendaji...
Na Mwandishi wetu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Kanali Mstaafu Edmund Mjengwa afuatilie na kuhakiki (value for money) matumizi ya Sh bilioni 1.5 za ujenzi wa...
kutoka mwananchi
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema malumbano ya wafanyabiashara yanayoendelea kushika kasi nchini kuhusiana na ufisadi, hayana tija kwa...
Having made serious accustaions of grand corruption this week, with publications that amount to criminal libel within the penal code of Tanzania if not true, it is worth noting, that Mengi has yet...
Hii si vita ya Dk. Slaa pekee, ni yetu sote
Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
INASIKITISHA kuona viongozi wa ngazi za juu serikalini, hususan baadhi ya mawaziri wakisaidiana na...
After a period of friction between Singapore and the central government in Kuala Lumpur, Singapore separated from Malaysia on August 9, 1965, and became an independent republic
Facing severe...
Kwa wale mlio Dar,
Kutakuwa na milipuko flani mnaisikia. Ni mabomu ambayo yanalipuka eneo la kambi ya Jeshi Zakhem - Mbagala.
Hii inaweza kupelekea mitikisiko isiyotarajiwa.
Nimefahamishwa ili...
dugu zanguni,
wakati fulani haya mambo yanakatisha tamaa sana. Nakuonea huruma Helen huko uliko
maana hupati undani wa mambo tunayoyapata wenzio huku. Deus pia anakosa maana kaenda
bondeni...
Wana JF naomba niwkee hii taarifa then nitaweka ushahidi wa RA alotumia pia annalysis ya yale alosema mengi kupitia wakili wake
MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA...
Kuna habari kwamba Mengi atakutana na waandishi wa habari leo Jumatatu saa 7 mchana.
MALUMBANO kati ya wafanyabiashara maarufu nchini Reginald Mengi na Rostam Aziz, yaliendelea jana kufuatia...
HATUA ya Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi, kutaja hadharani majina ya baadhi ya wafanyabiashara na mwanasiasa mmoja kuwa ni mafisadi papa imeonekana dhahiri kuligawa taifa katika...
Tangu nchi yetu ipate uhuru, wengi wa viongozi waliomadarakani kwa sasa ni wale wale. kwa namna moja au nyingine wamekuwa wabidalishana vyeo kana kwamba Tanzania ni mali yao binafsi.
Wameanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.