Katika chaguzi nyingi kuanzia za ujumbe wa nyumba kumi,serikali za mitaa ubunge na Uraisi wasomi waliobobea sana wamekuwa wakibwagwa na wasiosoma sana.
Nakumbuka Raisi Nyerere aliwahi kuulizwa...
Kampui ya simu tanzania imeingia kwenye matatizo ya ufisadi baada ya wafanyakazi wake kudaiwa kuiba Tshs Bil 5 zilizotakiwa kupelekwa TRA.
Inasemekana ufusadi huu ulifanywa na wafanyakazi wa...
Serikali imebaini kuwapo mpango mchafu wa kutaka kuvuruga ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon nchini, imeelezwa.Akizungumza jana Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na...
Uwajibikaji ni kitu muhimu sana kwa nchi ye yote ile inayotaka maendeleo na ustawi wa kiuchumi. Kila mtendaji au kiongozi katika eneo lake la kazi anatakiwa awe na dhamana ya yale yote yanayotokea...
Hizi ni picha za jana baada ya mvua kunyesha katikati ya Dar (picha kwa hisani ya MICHUZI JR
wakati huo huo,
Hapan ni Kihesa huko Iringa...
Pamoja na hayo, watu tuliopiga kambi kwenye...
Na. M. M. Mwanakijiji
KATIKA makala yangu ya wiki mbili zilizopita nilielezea jinsi wabunge wetu wanavyolindwa au kuhakikishiwa usalama wao kwa namna inavyowezekana kibinadamu.
Nilitoa mifano...
EXCITING CAREER OPPORTUNITY WITH TANZANIA POSTAL BANK
2. CHIEF OF HUMAIN RESOURCES - One (1) Post
Reporting to Head of Human Resources Procurement and Administration
DUTIES AND...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) anatarajia kufanya Ziara ya kikazi Nchini Tanzania kuanzia wiki ijayo,Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkazi wa UN -Tanzania Bw. Fernandez Taranco inaonyesha...
Hivi mtu kama huyu ambae anataka kuwashauri waTanzania juu ya kuendelea kuichagua CCM tumuelewe vipi ?
Ni kweli wakatoliki wanaridhika na uongozi wa CCM ,Pengo kwa maoni yake ya kujipendekeza...
Kawaida wananchi tunawakilishwa bungeni na waheshimiwa wabunge, lakini pia namna gani mbunge anatuwakilisha huko bungeni, inabaki kuwa ni kitendawili.
Mh. Dr. Shukuru Kawambwa, ninachukua fursa...
KUMEKUCHA KARIBU UCHAGUZI WA 2010 UKO MLANGONI NA YALE YALIOZOELEKA KUTOKEA YAMEANZA
SASA TUSEMEJE NA TUFANYEJE ?
Nyumba 600 zabomolewa Zanzibar,Cuf yalaani Na Salim Said
SERIKALI ya...
A group of politicians and traders who benefited from shady deals executed during the third phase regime are now planning a secret mission targeting the anti-corruption czar and the Director of...
SOURCE:SAUTI TA WATU TANZANIA DAIMA-salehe moohamed
MWANZONI mwa wiki hii, Rais Jakaya Kikwete, aliamua kumfukuza kazi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Albert Mnali, kwa kosa la kuwachapa viboko...
Waziri Kiongozi wa SMZ ameamua kuwa mfagiaji wa barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya Zanzibar. Hatua yake hii imetokana na barabara katika halmashauri hiyo kukithiri wa michanga kiasi cha...
Waomba DC wao aondolewe
2009-02-21 11:19:32
Na Pendo Fundisha, Mbarali
Baadhi ya wakazi wa Kata za Chimala na Ubaruku, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wameiomba serikali kumuondoa Mkuu wao...
Nimepata taarifa kuwa wafadhili kadhaa wakubwa wamekata msaada wao kwa taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation. Ni wazi hili litakuwa pigo kubwa kwa Mzee Ben lakini pia kwa watanzania ambao walikuwa...
Kutokana na info zilizonifikia, rais Jakaya Kikwete ameshangazwa na support aliyopiwa DC Albert Mnali kutoka kwa sehemu kubwa ya jamii kwa kitendo cha kuwatandika mboko walimu wazembe wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.