- Habari nilizozipata sasa hivi toka ndani ya CCM, zinasema kwamba Naibu katibu wa UV-CCM ndugu Francis Isaack, amesimamishwa kazi hiyo mara moja kwa tuhuma za ubadhirifu wa pesa, amesimamishwa...
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo, kuna story, "tuhuma za ufisadi sasa zaimega Benki ya Posta" "maofisa watatu wasimamishwa kazi". Katika habari hiyo kuna maelezo yasemayo, "Kwa mujibu wa...
My case against Minister of Internal Affairs Hon. L.Masha (MP)'s Conjoined Twins Saga: National ID and Killings of Albinos – Why should you go?
Hon. Masha,
Minister of Home Affairs-...
Kwa wale waliosoma kidato cha nne -cha sita watakuwa wanamkumbuka sana huyu mtunzi mahili. Nilikuwa napenda sana kitabu chake chenye jina 'Things Fall Apart' kukiwa na kinara mbishi Okonkwo kama...
Hatima ya zao la pamba kwa mkoa wa Shinyanga lipo mashakani baada ya kampuni kubwa na yenye nguvu - Cargill kusitisha kazi zake katika nchi ya Tanzania.
Sababu za kampuni hiyo kusitisha kazi...
Date::2/19/2009
Serikali kutembeza bakuli sherehe za Muungano
Tumsifu Sanga
Mwananchi
SERIKALI imeamua kuomba michango kutoka taasisi na kampuni binafsi nchini kwa ajili ya maandalizi ya...
Sijui ana professiona gani!
Actually he is for presidential post in TZ, zile issue za akina Lowasa, Karamagi n.k kwenye RICHMOND, angezishughulikia mwenyewe achilia mbali kama asingewapiga...
Thursday Feb 19, 2009
Beware mining pitfalls, Dar warns EAC partners
SUKHDEV CHHATBAR in Arusha, 19th February 2009 @ 09:43
DAILY NEWS
The Minister for East African Co-operation...
Hakuna asiye fahamu kuwa biashara katika karne hii ya utandawazi, matangazo ni lazima. Mimi huwa nashangaa kila kukicha nchi kama Angola iko kwenye CNN au BBC. Wanatangaza uwekezaji na utalii na...
Waziri Valentino Madusha alishtakiwa kwa kuingilia mchakato wa utoaji na upatikanaji wa tenda ya kuchapisha vitambulisho vya Raia. Katika kesi iliyovutia Taifa Waziri huyo alisimama kizimbani...
Hebu angalia hii clip ya Obama alipokuwa Ft. Myers, FL....
Yaani inachekesha kweli. Najua rafiki yangu Susuviri naye huwa anareact kama huyo dogo...Lol
YouTube - (HD) Obama Answers Student at...
CCM wezi, adai Mabere Marando
na Prisca Nsemwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezidi kutuhumiwa kuwa kinashinda chaguzi mbalimbali kwa kuiba kura.
Baada ya viongozi kadhaa wa kambi ya upinzani...
Mizengo Pinda katika ziara yake mkoani Moshi alisema kuwa atajitahidi kukipa kipaumbele cha kwanza kilimo cha kisasa katika uongozi wake.
Serikali ya makaburu ya Afrika ya kusini ilikuwa...
Dar in the dark over sale of Williamson Diamond
Mining equipment at Williamson Diamond Ltd in Mwadui, Shinyanga. A team of experts is scrutinising Tanzania's mining laws and policy ahead of...
na Mwandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kusikitishwa na Serikali ya Zanzibar (SMZ) kuingilia majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), wakati huu wa...
The victory of the USA elect president, Barrack Obama, an American with African roots, was celebrated across all continents of this world. And indeed it is assumed to have inspired the greatest...
DPP awaachia watuhumiwa wa mauaji ya maalbino
2009-02-12 10:32:05
Na Pendo Fundisha, Mbeya
Mahakama ya Wilaya ya Rungwe imewaachia huru washitakiwa wawili waliokuwa wakikabiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.