Diwani wa Kata ya Kisangura (CCM),
Katika Tarafa ya Rogoro wilayani hapa, Joseph Muniko, amelazimika kumwaga machozi mbele ya mkutano wa kijiji cha Bisarara ili kukwepa adhabu dhidi yake...
Salehe Mohamed
Tuanze kuwachapa viboko viongozi
Tanzania Daima~Sauti ya watu
JANA katika vyombo mbalimbali vya habari kulikuwa na taarifa kuwa Mkuu wa Wilaya Bukoba, Albert Mnali, ameamuru...
Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo kupitia idara ya Maelezo leo inatarajiwa kutoa tamko kuhusu mwelekeo wa uandishi wa vyombo vya habari kufuatia malumbano na migongano ya maneno yenye...
Shule ya Msingi kutoza fedha za mtihani kila ijumaa ni halali,shule hiyo pia hutoza rimu ya karatasi kwa ajili ya mtihani achilia mbali fedha ya mlinzi kwa mtindo huu tutafika?Mwanafunzi asiyelipa...
Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema haijatumia fedha za umma kununulia magari ya kifahari maarufu kama mashangingi bali yamepatikana kupitia msamaha wa...
Kulingana na habari nilizozipata.. nimetaarifiwa kwamba Ujambazi wa kuvamia nyumba za watu usiku wakiwa wamelala umerudi mjini..
Hii ni hatari kubwa sana kwa usalama wa wananchi ikiwa tunashindwa...
This is getting out of control. Almost everyday now you hear a Tanzanian drug trafficker has been caught.
We are slowly getting a reputation like Nigerians. Soon our passports will be...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hatuendi mbele, wala hatutoki tuliko. Kama ni jeshini tunaweza kusema tuko kwenye marktime! Na kama ni lori basi tumekwama kwenye matope na magurumu yanazunguka kwa kasi...
Ni ajabu ila kweli kuwa mshahara Mbunge Kenya ni 14m Tshs kwa mwezi!
Hii iko hata juu ya malipo ya wabunge Uingereza!
Je mnasemaje JF wakati wandugu kibao Kenya wanakufa njaa kwa kukosa...
Wabunge msikubali hoja nzito kuzimwa bungeni
Msikubali uhuru wenu wa kikatiba kutekwa nyara na Sitta na Pinda
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, juzi baada ya...
Habari zilizothibitishwa kutoka Paris, London na Dar Es Salaam zinaeleza kuwa Radio France Internationale inatarajia kufungua Idhaa ya Kiswahili [radio]itakayokuwa na makao makuu Dar Es Salaam...
Janja ya serikali yazuia mjadala wa Richmond
Sheria yawakuta wabunge wakiwa hawajajiandaa
na Charles Mullinda, Dodoma
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MKUTANO wa 14 wa Bunge...
Tutafakari, nchi haiko sawa
John Bwire, Mhariri Raia Mwema Februari 11, 2009
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Jamhuri ya umoja ambayo iko chini ya demokrasia ya Bunge la...
Salaam,
Kuna mambo mengi ambayo yanaendelea nchini kiasi cha kutufanya tujihoji, ni wakati gani tutapata nafasi ya kuzungumzia masuala mengine muhimu ya maana, na yenye kuhamasisha ujenzi wa...
Spika azima hoja binafsi
na Charles Mullinda, Dodoma
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, jana alizuia kuwasilishwa bungeni kwa hoja binafsi tatu zilizokuwa...
Mwanakijiji lawama hazijengi bali zinabomoa tu
ADELADIUS MAKWEGA
Iringa
WATU wa pwani wana msemo kuwa kila kifo kina sababu yake, huo ni msemo miongoni mwa misemo mingi katika jamii...
na Mwandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua Operesheni Sangara Zanzibar kwa kishindo na kueleza Zanzibar imekumbwa na ufisadi mkubwa wa ardhi na matumizi...
PIUS RUGONZIBWA, 12th February 2009 @ 11:19
A kenyan national (name withheld) serving as senior lecturer at St Johns University in Dodoma Region is under investigation for allegedly using fake...
Former Director of Public Prosecution Geoffrey Shaidi violated the law governing prisons by allowing an accused person in remand prison to send him letters implicating another remandee in the case...
It is emerging that suspiciously large numbers of Kenyans with faked degrees have been applying for university jobs in Tanzania.
Intelligence officials in Nairobi and Dar es Salaam have started...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.