Jumanne Feb 17, 2009
Habari za Kitaifa Habari zaidi!
COTWU yapinga likizo bila malipo ATCL
Basil Msongo
Daily News; tuesday,February 17, 2009 @19:56
Habari nyingine...
Worth reading, got it in the dailynews
By Adam Lusekelo
IPP supremo, Reggie Mengi is angry that some rag, calling itself a weekly newspaper has been smearing him and accusing him of getting...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Februari 16, 2009
Serikali ya Muungano ina dhamira gani kwa Zanzibar
Wapendwa Wanahabari,
Wakati Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Hu Jintao...
This is an extract of President Elect Baraka Obama when addressing the nation jana before signing a bail out package of $ 787bn. I wonder is happening to our leaders here in africa who seem to...
DAR ES SALAAM (AFP) Chinese President Hu Jintao signed cooperation agreements with Tanzania worth more than 20 million dollars Sunday, covering agriculture, communications and technical...
A Chinese man grabs a suspect by the shirt after he accused him of pick pocketing on samora Avenue in dare s salaam yesterday. Mnaoishi karibu na Zawadi saluni hamkuiona hii ?
Kwa jinsi Muungwana anavyo wajibika kwa sasa si ndiyo anazidi kukiruka kiunzi 2010? hatujui tutamrushia madongo yapi, kwani yeye kama yeye hakika anaendelelea kuisafisha ile njia,
Tuangalie...
Kwenye riadha na baadhi ya michezo mingine kuna kitu kinachoitwa 'False start". Hii inatokea pale ambapo kwa mfano mkimbiaji anaanza kukimbia kabla bastola haijapigwa (kutokana na papara au kitu...
Kuna taarifa kwamba Liumba wa BoT atapanda kizimbani Kisutu muda si mrefu, anapelekwa na Takukuru, inawezekana ni ile kesi ya kikiuka taratibu za ajira kwani ndiye aliyeajiri watoto wa vigogo
2009-02-16 08:01:00
Donors support tops sh800bn
By Damas Kanyabwoya
THE CITIZEN
The donor community has already released Sh818 billion to the Government's 2008/9 Budget, a top...
...When you see meteorologists on your local tv stations forecasting about the weather, you've probably heard them say 'the doppler radar is showing that there is a 40% 'chance' of rain/...
Rias wa china alipanga kuongea na wasomi wachuo UDSM. serikali kwa sababu inayojua yenyewe ikaamua kuhamishia mdahalo huo ukumbi wa diamond jubilee na sio nkrumah kama livyokuwa imepangwa...
Heshima mbele wadau wote!
Nimekuwa nikitatizwa sana haswa ninapoona huu utitiri wa matawi ya vyama vya Siasa haswa vya Tanzania kufungua matawi nje ya nchi na haswa nchi za magharibi na India...
CCM ing'olewe hakuna ubishi na hili hawa jamaa hawana faida hata chembe ,ile chembe ya faida hawana ,ndio maana juzi wamepewa kisago na wananchi wenye Uchungu na nchi yao pale Malawi ,wamekaa...
Wana JF kuna tetesi nimezipata mtaani kwetu, Eti bunge limeahirishwa kwa kutokana na ukata unaolikabili hakuna fedha za marupurupukwa wabunge....
Kuna aliyesikia hilo pia au news yoyote kuhusu hilo?
Habari zilizotufikia punde huko makao makuu ya atcl mjini kunawaka moto,,
chanzo chetu kilicho huko tanzania kinasema Mkutano mkubwa umeitishwa na CEO wao MH david mattaka, NA HABARI ZILIZOJIRI MH...
Jamani,
Nimesoma na kuona picha ya ajali ya bajaji na gari taka iliyotokea siku ya wapendao na kuua mama na mtoto wake wa miaka mitatu( viewer discretion is advised as the photos are not in a...
MUHTASARI WA TAARIFA YA TUME YA MKUU WA MKOA WA TABORA YA KUCHUNGUZA TUKIO LA VIFO VYA WATOTO 19 KATIKA KUMBI ZA MUZIKI ZA BUBBLES CLUB NA NSSF (110 DISCO THEQUE)
Mnamo tarehe 1/10/2008 kati ya...
PCCB launches study on state of corruption
2009-02-14 11:12:10
By Guardian Reporter
The Prevention and Combating of Corruption Bureau has launched a nationwide study aimed at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.