Ngawaiya: Simuombi radhi Ndesamburo
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo (Cegodeta), Thomas Ngawaiya amesema hayuko tayari kumuomba radhi na kumlipa fidia ya...
Niliwahi kuandika siku za nyuma mkakati mzima wa Rostam na ule wa Gachuma. Na katika kuandika nikamtaja na mtu mmoja aliyeitwa Mariam Chacha Wangwe. Niliacha kuendelea kuandika kwa heshima ya...
Katika uchunguzi wa Ernst and Young kuhusiana na ufisadi wa EPA
katika mwaka 2005/2006 iligunduliwa kiasi cha shilingi bilioni 133
ziliibwa na kuwanufaisha mafisadi. Inawezekana kabisa kama...
Mwandishi Wetu
Daily News; Friday,January 16, 2009 @20:00
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limegundua mafuvu 40 ya binadamu na mifupa mingine katika shimo chini ya mti wa mbuyu.Taarifa...
Date::1/16/2009
Kwa masharti haya UDSM ni wabaguzi
Mwananchi
MWISHONI mwa mwaka jana wanafunzi wa shahada ya kwanza kutoka vyuo vikuu saba vya umma nchini, walisimamishwa masomo kutokana na...
Yule kijana msomi mchakapakazi, Amosi Makala amefanikiwa mpaka sasa kumzidi kete mpinzani wake Suleman Sadiq "Murad". Bwana Makala ambaye amefanikiwa kujijengea jina Mvomero kutokana na uadilifu...
Death toll alongside
1. Second World War - 20 million +
2. First World War - 8.5 million
3. Korean War - 1.2 million
4. Chinese Civil War (1945-49) - 1.2 million
5. Vietnam War - 1.2...
Ni wazi kuwa kama hali ya kisiasa itaendelea kama ilivyo sasa huku watawala wakiendelea na imani potofu kuwa CCM ni Tanzania na Tanzania ni CCM, ipo siku nchi yetu itafika walipofikia makamarade...
Wakuu hii imekaaje kama wameanza kupigana wenyewe kwa wenyewe? Kuna watu wana hatimiliki ya majimbo?
Mbunge CCM amtwanga konde M'kiti UV-CCM
Na Mussa Juma, Monduli
MBUNGE wa jimbo la Simanjiro...
Nataka tuwapambanishe Mwenyekiti mpya wa UWT, Sophia Simba na Mkurugenzi mpya wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA), Mama Naomi Kaihula.
Tupitie walipopita tuone nani anaweza kuongoza...
2009-01-17 08:19:00
Fears ahead of UDSM reopening
By Beatus Kagashe
THE CITIZEN
Fears are mounting of possible demonstrations by students who have not yet been recalled to public...
Wanabodi
Naomba kwa mwenye habari zaidi atufahamishe kuhusu hili.
Katika taarifa ya habari ya jana (3 Novemba 2008) saa mbili usiku, na leo asubuhi (04 Novemba 2008), kituo cha ITV...
Yasema ni wababaishaji wasio na agenda
:: Yawahusisha Zitto, Kiwelu na watuhumiwa EPA
:: Wao wakiri kuwa na undugu na wanaotuhumiwa
:: Mbatia naye awataja kuwa ni waongo wa hoja
Benedict...
Kambi rasmi ya upinzani kuvunjika hivi karibuni. Hatua hiyo inatokana na msuguano kati ya CHADEMA na CUF. Wadadisi wa mambo wanasema kwamba kwa kanuni za bunge zinasema kwamba chama au ushirikiano...
Gazeti la Mwanahali limekamilisha kifungo cha miezi 3 (siku 90) na sasa lipo mitaani likiwa na habari motomoto juu ya kuibwa kwa nyaraka za EPA pale BOT pia kuhusu mmiliki wa Kagoda.
fungua...
Yafuatayo ni mambo ambayo yamekubaliwa kufanywa baada ya uongozi wa Mamlaka ya Bandari, Wizara ya Miundo Mbinu na Ikulu kukutana jana. Hebu tuyaangalie na tuamue ni yapi yalimhitaji Rais na...
Kuna mzee mstaafu nilikutana naye alinieleza mambo ya ajabu ya namna ya kuinua mauzo ya bidhaa za Tanzania.
Aliniambia kuwa Kuna kiwanda Tanzania kilikuwa kinajulikana kama LIGHT SOURCE...
Kazi kweli kweli!!!!
Kamata hiyo !!!!
==================================================
Hokororo: Serikali ina mgogoro na Mwananchi
Salim Said
MKURUGENZI msaidizi wa Maelezo, Raphael...
Mnajimu maarufu wa Tanzania leo ametabiri kuwa mwaka 2009 utakuwa mwaka mgumu kiuchumi (mwaka wa matatizo); pia akadai kuwa mwaka 2010 uchaguzi hautakuwa na kuibiwa kwa kura kama chaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.