Farewell Reception
Serena Hotel, Zanzibar
January 8, 2009; 7 p.m.
Remarks by U.S. Ambassador Mark Green (as prepared)
Zanzibaris and Americans have been friends for many, many years...
Ufisadi utakwisha tukiondoa mgongano wa Maslahi?
Bila ya shaka wengi wetu tumechoshwa na ufisadi, na ili tuweze kusonga mbele tunahitaji viongozi ambao kweli wakisema wanauchukia ufisadi...
Nilishatoa wazo na wala sitachoka kusema,kwamba kuna haja ya Raisi wetu kuwa makini zaidi katika uteuzi wa wafanyakazi wa ngazi za juu serikalini.Hili sakata la Sophia Simba na Janet Kahama...
Ms Diane Corner has been appointed Her Majesty's High Commissioner to the United Republic of Tanzania in succession to Mr Philip Parham, who will be transferring to another Diplomatic Service...
Kuna breaking news kwenye gazeti la Mwananchi kwamba basi la Tashriff limepata ajali na watu 27 wamepoteza maisha. Mwenye habari zaidi aziweke hapa ukumbini. Haya mabasi yanatumaliza tu Watanzania...
Tunaye fisadi mzalendo?
Na Msiba Pakia
Kufuatia makala yangu katika gazeti hili toleo la juma lililopita niliyosema kwamba kweli ili CCM iimarike inabidi ivunjike, yamejitokeza maoni...
Wananchi watoa masharti kwa wagombea ubunge
Merali Chawe, Mbeya
Daily News; Saturday,January 10, 2009 @20:06
Baadhi ya wakazi wa Mbeya Vijijini, wamesema Mbunge atakayechaguliwa kuongoza...
On behalf of JamiiForums.com Administration, I would like to express our sincere wishes for the December 2008 Holidays to all our members (Registered & guests).
The end of an old year and the...
...tukiwa tunaelekea tarehe 12.January, si vibaya tukijikumbusha ilikuwaje miaka 45 ilopita siku ya mapinduzi ya Zanzibar kwa picha.
...serikali ya Zanzibar huru chini ya utawala wa Sultani...
MP: Leaders with shares in oil companies...
2009-01-07 12:08:48
By Angel Navuri and Correspondent Gadiosa Lamtey
A Cross section of Members of Parliament have expressed grave concern over...
HATIMAYE Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad, ametoa ushahidi kuhusu tuhuma alizozitoa kuwa Tume mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imekuwa ikitekeleza majukumu yake...
(1) Tanzania ni kati ya nchi zenye watu wengi sana Afrika
(2) Tanzania ni kati ya nchi zinzopewa sana misaada Afrika
(3) Tanzania ni kati ya nchi zenye kuchimba dhahabu sana...
The Guardian, Friday January 9, 2009
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT MINISTERIAL TENDER BOARD
TENDER NO. ME/0l5/2008-2009/HQ/G/13 FOR THE SUPPLY OF...
Leo ikiwa ni siku ya mwisho wa mwaka sambamba na kumskuru muumba kwa majaliwa yake kwa mwaka ulio ukingoni ni vyema pia tukafanya mapitio ya mwaka mzima ili tuchukue akiba na kubeba yalio mazuri...
Leo katika mahojiano na TBC1, Waziri Masha amesema kuwa Mengi hakuleta uthibitisho wake kuhusu tuhuma alizozitoa za kutishiwa kufilisiwa na Waziri kijana. Lakini hawatamchukulia hatua na suala...
ufisadi mkubwa umeikumba mamlaka yetu EWURA ambayo tumekuwa tukiiomba wakamatane na hawa majangili wa kutopunguza mafuta..hakika imeniuhuzunisha leo hii wamepanda pipa kuelekea visiwa vya...
RAIS Jakaya Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, amesema mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na ufisadi hata kama ni mwanachama wa chama hicho, atashughulikiwa.
Alisema orodha ya...
Kamara kapindua Guinea kelele nyingi tu, hakuna kulala, Myahudi anaangamiza Gaza nyie mnakula na kunywa kama kawaida. What a shame!!
Hapa mngekuja na tamko la pamoja na kusimamisha uhusiano wa...
ubinafsishaji ni sera iliyoilazimu tanzania kufuata kuanzia miaka ya 1990...ikiwa ni sehemu ya urekebishaji wa uchumi[economic adjustment programmes]
ndani ya sera hii viwanda kama kiltex...
Habari zilizoingia hivi punde zinasema wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya precission wanajiaandaa kuipeleka management ya ATCL
mahakamani kutokana na kukaidi kulipa pesa za saccos ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.