Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ukitaka kuomba kazi serikalini inakuwaje? Mfano Ikulu au Mambo ya Nje inakuwaje? Nikiangalia majina ya wanaongia huko kuna kama ka harufu ka undugunization. Mtu unakuwa unazumza lugha saba za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni baada ya gari alilokuwa anasafiria huko Singida kupasuka tairi la mbele na kupinduka mara tatu. Alikuwa katika ziara ya kikazi kukagua barabara akitokea mkoani Manyara. Ndio kwanza alikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa madawa, vifaa na nyenzo mbalimbali kuisaidia nchi ya Zimbabwe kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeushaua zaidi ya watu 500 na ukiendelea...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kunana fomula ya uongozi huku kilimanjaro siku hizi,,, Kili Marathon+ Kumbukumbu ya Mangi Mrealle + ufisadi= Ubunge Mdogo wangu Agrey aliipoakuwa tanzania Brewaries alijua weakness za viwanda...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naamini muda si mrefu utakuwa umemaliza mikoa yote na hivyo utakuwa umebakisha nchi za nje tuu unless uanze za kila wilaya! Sasa nakuomba yafuatayo! Uanze kukagua miradi isiyo ya maendeleo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...kama ambavyo viongozi wote wanavyotakiwa kuorodhesha mali zao? Date::12/4/2008 Kambi ya upinzani wahoji mabilioni ya Mramba, Yona Na Salim Said Mwananchi SIKU chache baada ya mawaziri wa...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Jana kulikuwa na Uchaguzi wa UVCCM mkoa wa mwanza.Nani na nani kashinda katika nafasi ipi.Wenye taarifa hebu mtujuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Date::12/6/2008 Chadema yadai kesi za ufisadi zinajenga tabaka Na Salim Said Mwananchi CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka serikali kuwafikisha mahakamni watuhumiwa wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakulu, Asubuhi nikiwa hapa duniani nimepata habari kuwa kuna wafanyabiashara wawili maarufu wa nchini wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na utumiaji wa viungo vya maalbino. Ka nzi...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
AZIMIO LA MWANZA Sisi wananchi wa mkoa wa Mwanza tuliokutana hapa jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa Chama cha CHADEMA leo tarehe 5 Disemba 2008, na baada ya kupata taarifa ya ziara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wiki hii imekuwa ya Barka kwa wana JF...kwanza MAX kututhibitishia kama yeye ni dume la mbegu kwa kupata mtoto....halafu hii ya Mwana JF mwenzetu ambaye alikuwa mwandishi wa habari mwandimizi wa...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Na Salim Said - Mwananchi JOPO la wenyeviti nane wa mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na kusema kuwa wanaenda mahakamani kumshitaki mhariri mtendaji wa gazeti la MwanaHalisi, Saed...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Bw. Lawrence Masha ametakiwa kujiuzulu kutokana na kauli anayodaiwa kuitoa hivi karibuni juu ya mauaji ya albino alipohojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC)...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kabwe Zitto (pichani), amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumruhusu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
http://http://www.nation.co.ke/oped/Opinion/-/440808/496418/-/3n4rv4/-/index.html By GITAU WARIGIPosted Saturday, November 29 2008 at 15:12 It is time members of the East African Community...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
Heshima mbele wakuu na vigogo. Nina swali limekuwa lininiumiza kichwa na kunitia hofu kwa siku kadhaa sasa, wakati serikali ikiwa katika mshike-mshike huu wakuwapekeka watuhumiwa wa matosa ya...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Date::12/3/2008 Vigogo wa Benki Kuu wanyang'anywa mabenzi WAKATI uchunguzi wa ufisadi katika ujenzi wa majengo pacha (Twin Towers) ukifanyika, Gavana wa Benki Kuu (BoT) amezuia matumizi ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kupongeza hatua moja ya kumfikisha Mhe.Mramba na Mhe.Daniel Yona mahakamani ili kujibu mashitaka yao ya matumizi mabaya ya madaraka yaliyolisababishia taifa letu hasara...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
RAIS Kikwete, amefanya mabadiliko ya makatibu wakuu na naibu katibu wakuu wa wizara 13 na Gray Mgonja wa fedha amekwenda likizo ya kustaafu. Makatibu kadhaa na manaibu wamehamishwa na wengine...
0 Reactions
92 Replies
15K Views
Back
Top Bottom