Pamoja na na utetezi wake wa jinsi Mramba na Yona walivyoletwa mahakamani jumatatu bila removal order, Mkuu wa magereza nchini Ndugu Nanyaro (kama sijakosea jina leke) alikiri kuwa ni kweli...
Nimekutana na hiyo heading kwenye gazeti la Nipashe na inavyoonekana chama cha CUF kinajiamini kusimamisha mgombea atakayeshinda kirahisi endapo kitaungwa mkono na vyama vingine, Nabaki kujiuliza...
Mbali na kupiga picha na Mablazamen( Boyz 2 Men)wa marekani ,na ikulu kupambwa na magari ya kifahali BMW, Nimejaribu kufuatilia mara nyingi,Huyu Rais wetu mh JK.kikwete katika ziara zake nje ya...
Ndugu wanabodi,
Napenda kutoa zangu shukrani kwa jitihada zenu za michango ya mawazo kwa lengo la kuijenga na kuitetea Tanzania.
Kuna kitu kinanikera na naomba kukitoa wazi hapa JF.
Vita ya...
Ukisafiri kati ya Nairobi na Dar kwa basi, utagundua kuwa zaidi ya asilimia 80 ya abiria wale ni wakenya wanaoishi Tanzania; ama wanakuwa wanakwenda Nairobi kusalimia ndugu zao au wanarudi...
MIAKA kati ya 1967-1995 babu, bibi, baba, mama, kaka, dada na penginepo hata sisi wenyewe tulichan gia kuanzishwa na kuendeshwa kwa yale yaliyokiitwa mashirika ya umma.
Katika awamu ya tatu ya...
With Gates, Obama Opts for Empire
By Matthew Rothschild
December 01, 2008 "The Progressive " --- Barack Obama's got a big problem.
He's suckered himself into believing that we need a...
Tarehe 15 usiku palitokea ujambazi wa kiaina katika kumbi mbili Igunga ambazo zina Guest House na wateja wakaibiwa fedha nyingi tu na mali zingenezo, sasa mazingaombwe yalianza kesho yake tarehe...
Hii article ipo kwenye Gazeti la Majira 26/11/08
Imetolewa mara ya mwisho: 26.11.2008 0003 EAT
Mwandosya apigiwa chapuo la urais
Habari Zinazoshabihiana
Sigombei...
Ni jambo la kusikitisha kwa kilichotokea Mumbai. Pamoja na kuwa si rahisi kwa vyombo vya usalama na raia kujua ni lini watu wenye nia mbaya watafanya maovu, lakini tunaona tena umuhimu wa vyombo...
Mods please Naomba msibadilishe kitu hata header kwa sababu inajitosheleza)
Hii ni spin off ya ma bodyguard thread na sikutaka kuidilute hii thread
Anyway mpigapicha wa WYU alipiga picha...
Naomba nirushe hili swali na tuweze kuchangia maoni yetu:
Je ni raisi yupi kati ya Nyerere na Kikwete ambayo wakati wakuchukua/wakupewa madaraka amekutana na changamoto (challenges) kubwa zaidi?
Kutoka mwanakijiji.com
Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha leo ametembelea gereza la Keko ambapo mawaziri wawili wa zamani wanashikiliwa rumande wakikabiliwa na jumla ya mashtaka 13...
"Ewe Mchagga unaombwa kufika Rombo Bar katika Harambee ya kumchangia Mramba kupata dhamana. Tatizo hili la Mramba si la Warombo peke yao ila ni la sisi Wachagga wote wa Machame, Kibosho, Uru, Old...
Kampuni ya Mwananchi communication iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya watanzania na wakenya sasa inamilikiwa kwa asilimia 100 na wakenya .
Habari za kuaminika toka kwa watu mbali mbali...
Source: Majira, Ijumaa 28 Nov 2008
Na Mwandishi Maalumu, Mahenge
RAIS Jakaya Kikwete amesema kiwango cha rushwa katika sekta ya misitu na maliasili kilikuwa kimevuka mipaka na amewataka...
Wana JF
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde ni kwamba Manji amekunywa sumu kwa nia ya kujidhuru, hivi sasa anakimbizwa aghakhan hospital kwa matibabu!
Tahadhari kwa vyombo vyetu vya...
Basil Mramba in graft probe
-Focus on corruption allegations linked to five-year stint as finance minister
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
FORMER senior cabinet minister Basil Mramba is under...
Na Burhani Yakub Lushoto
RAIS wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa jana alikuwa kivutio wakati alipopangua maswali ya wanafunzi kuhusu wimbi la migomo kwenye vyuo vya elimu ya juu...
Najaribu kupitia makala mbali mbali zinzohusu, Jumuia za Kiraia Tanzania ikiwa ni pamoja na NGO, nakuta lawama kuwa, hivi ni vijiwe vya wasomi wanajipachika huko kupata ajira na kuganga njaa, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.