UDSM ni wa UVCCM
Na Rehema Mwakasese
JESHI la Polisi nchini limesema mwanafunzi raia wa Uganda, Bw. Odong Kefa Odwar anayetuhumiwa kuwa kinara wa migomo mingi kwenye Chuo Kikuu cha Dar es...
Imetolewa mara ya mwisho: 22.11.2008 0010 EAT
JK kufanya mabadiliko
*Vigogo wengi wahaha,wakosa usingizi
*Ni walioshindwa kwenda na kasi mpya
Na Mwandishi Wetu
Majira...
Dear Tanzanians,
Ours must be the bussiest leaders on earth. I now believe so. I could not do better!!!!!
This is a typical day in their lives.
In the early morning when most of you...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia viongozi wengi wakisema serikali haiwezi kutumia pesa zake kwa hili au lile. Hivi karibuni, Naibu waziri wa Elimu G Kabaka akaririwa akisema kuwa pesa za serikali...
Why other country members wanaangalia Tanzania kwa macho ya husda! Hawajui hata sala ya kuliombea bunge letu inazuia jambo hilo? Kila kitu wanafikiri Tazania is lagging behind and kwa deep...
Wadau, tunajua kuwa serikali imeanza kuwalipa Waalimu madai yao ya muda mrefu. Jana nimepata habari ya kushtua na kushangaza sana kuwa Walimu wanalipwa pesa zao cash kwa kupanga foleni dirishani...
Niwapatie background kidogo: Gazeti la Jumatano la Raia mwema lilipata matangazo toka Hazina kuhusu masuala haya ya malipo ya walimu na hivyo likachapisha matangazo hayo na ndiyo msingi wa email...
Distorted truth?
2008-11-23 12:07:29
By Staff Writer
With a total of 1,059 days at State House, President Kikwete`s regime is paying a heavy price for former president`s slip-up...
Wabunge mliomo JF ,jamii inahitaji maelezo juu ya miradi hii iliyoambatanishwa hapa chini ,ilianzishwa lini ,imefikia wapi na nani mhusika Mkuu Serikali au mafisadi.
1) Lake Rukwa Uranium...
Nyakati hizi ngumu twahitaji uongozi, si utawala
Johnson Mbwambo Novemba 19, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
NDUGU zangu, nyakati tunazopitia hivi sasa ni ngumu, tunahitaji uongozi...
Serikali yasikia kilio cha wanafunzi wa vyuo
Veronica Mheta
Daily News; Friday,November 21, 2008 @20:21
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya migomo katika vyuo vya elimu ya juu hasa vya...
Uonapo viongozi wanaonesha dhahiri ni wavivu wakufikiri na wepesi wa kusahau,uonapo migongano ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama chao 'tukufu',uonapo wananchi wanamdhihirishia mkuu wao kuwa...
Kuna mtu yeyote anayemjua muhasibu huyu? Niko kwenye process ya kuconnect the dots na jinsi gani anahusiana na mtu yeyote in power? au anayejua hiyo kampuni ya Khatco?
Forget about Sumaye ambaye hana shughuli zaidi ya kupolute hali ya hewa na kumaliza tax payers maoney kwa kuzunguka kila kona ya nchi kasoro Unguja, Pemba na Mafia
Makamo wa Rais yeye naye yuko...
Tumeona Obama anavyolalamika kutenganishwa na Blackberry yake. Can you imagine JK anavypenda kutuma text na zile sim kwa wale rafiki zake wa Yanga (asili) kama atalikubali hilo
Imagine vijana wa...
Wachangiaji,
Nimekuwa napita na kusoma kuwa Tanganyika imekuwa ikiibia pesa Zerikali ya Zanzibar. Misaada ikija kwa Tanzania, inapelekwa Tanganyika tu. Pesa za kodi zikikusanywa na Wazanzibar...
Uamuzi huu wa serikali ni mzuri lakini wakati mwingine wawe waungwana kusema kwamba walizinduliwa na Thisday na pengine wangewaalika katika huo mkutano na waandishi wa habari. Kinyume ni kwamba...
Jamani, I'm doing some homework for a certain investor who is really interested in some projects that Manji has undertaken since 2005. According to this "investor" he is interested in what Manji...
Wakaguzi wa dhahabu wagundua upungufu
Raymond Mihayo, Kahama
Daily News; Monday,November 17, 2008 @20:00
Kitengo cha Ukaguzi wa Dhahabu (GAP), kimebaini upungufu mkubwa katika mikataba ya...
Mahakama Kuu kitengo cha kazi imezuia kufanyika kwa mgomo wa walimu uliopangwa kuanzi Jumatano. Amri hiyo ilitolewa kutokana na kesi iliyofunguliwa na serikali leo asubuhi, ikiitaka mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.