Kitu ambacho CCM haitaki ujue ambacho leo Utakijua!
Makala iliyotoka Tanzania Daima Jumatano 19 Novemba, 2008
Kama wewe ni mwanachama au umewahi kuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi...
"Semina, warsha sasa kwa kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu
Na Habel Chidawali,Mpwapwa (Mwananchi)
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingia kwenye orodha ya viongozi waliojaribu kupiga vita semina na...
Rais Kikwete ambaye sasa hivi yuko Ethiopia alichepukia Libya kwa ziara ya siku moja ya kikazi. Katika taarifa ya habari ya saa mbili TBC wametangaza sababu ya Rais kwenda Libya na kufanya...
Serikali ya awamu ya nne imepata misukosuko mingi sana. Sina maana kwamba serikali zilizotangulia hazikuwa na misukosuko kama hiyo. Ilikuwepo kwa kiwango chake. Maamuzi yanayogusa maisha ya watu...
INASEMEKANA eti kuna wanasiasa na watumishi wa serikali ambao nao wameahidiwa na waganga hao hao kwamba ili wapate Uwaziri au ukuu wa mkoa au ukuu wa polisi wa mkoa au ubalozi au ukatibu mkuu...
Tuambiane ukweli, ofisi ya Mwendesha Mashitaka si huru
Lula wa Ndali-Mwananzela Novemba 19, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
KINYUME na madai ambayo tumeyasikia mara kwa mara siku...
Wale ndegu zetu waliosota kipindi kilichopita chha mahujaji leo hii wameendelea kuonja joto ya jiwe na safari hii ni tatizo la ""YEMEN AIR".
habari zilzotofikia zinasema mahujaji wamelala tangu...
Niliwahi kumsikia siku moja Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Joseph Sinde Warioba. Akisema hivi "Kwenye Taifa kama la Tanzania ambapo Mkuu wa nchi ni Rais wa Jamhuri, Waziri Mkuu kazi yake ni kuhakikisha...
Heshima mbele wakuu. Nimekuwa nikifikiria sana juu ya upeo wa mawaziri wetu ambao wana dhamana ya kuliongoza Taifa letu kwenda kwenye Maisha Bora kwa kila Mtanzania. Hapa ntatoa mifano miwili tu...
Akutwa na ngozi ya mtu
na Kenneth Mwazembe, Mbozi
MKAZI wa Kijiji cha Halungu, wilayani Mbozi, Yalesi Mganji, anashikiliwa na polisi mjini Vwawa kwa tuhuma za kuuza ngozi ya binadamu.
Mganji...
On Necessary Things (Public Discourse 3)
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu visivyo vya lazima na vitu vya lazima. Kuna vitu ambavyo mwanadamu anaweza kuishi bila kuwa navyo na vipo vile...
Kama unadaiwa na serikali basi hawa ndio watakuja kukudai
Madalali 11 waomba kukusanya Fedhaza Ufisadi..
KAMPUNI 11 za udalali zimeomba zipewe kazi ya kukusanya Sh bilioni 199...
Ninadhani sifa kuu ya wana CCM ni kulinda maslahi ya chama chao kwa nguvu zote. Hii inatokana na maamuzi ya CC-CCM ya hivi majuzi kuwashughulikia viongozi wa Jumuiya ya Wazazi na Katibu wa CCM wa...
Ulaya na Marekani rasmi sasa hoi bin taabani WATANZANIA TUANZE KUJIANDAA KUFUNGA MIKANDA KWA MIEZI ISHIRINI NA NNE na pengine zaidi na kama tusipokuwa watundu na wabunifu na kuachana na mazoea...
Mgombea mmoja wa nafasi ya Ujumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi wa CCM taifa amemwaga `lazi` kuanzia mchana wa jana hadi usiku wa kuamkia leo baada ya kuwalisha misosi wajumbe kibao wa...
Huyu mwanamama anaiturn one with her intelligence,sense of perspective, real genuine lady there. Can you imagine akigombana na mumwewe basi inaelekea zitakuwa the most intellectual "throw downs"...
Imetolewa mara ya mwisho: 13.11.2008 1119 EAT
Kabwe afurahia sitofahamu CCM
Na Said Mwishehe
Majira
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Bw. Zitto Kabwe amesema...
Wanaforum,
Sheria moja ya kazi huwa inaweka conditions za mtu kulipwa mafao baada ya kuacha kazi; sheria hii huwa inaelekeza kuwa mtu atalipwa mafao yake ya mwisho endapo tu mtu huyo ataacha...
Unaombwa utoe ushauri wa jinsi ya kutatua matatizo ya elimu ya Juu nchini ili hatimaye:
a. Migomo isiyo ya lazima isitokee
b. Elimu ya Juu inapatikana kwa kila atakaye
c. Familia zinaweza...
na Mwandishi Wetu
MGOMBEA wa nafasi ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) NEC, Shyrose Bhanji, jana aliwatoa machozi wajumbe wa NEC, alipotoa maneno ya shukrani baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.