We must safeguard our religious harmony
2008-11-09 13:48:22
By Imani Lwinga
There is now concern that the religious harmony which this country has enjoyed prior to and after independence...
Date::11/8/2008
Utata wagubika zabuni ya usalama wa Benki Kuu
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
UTATA umegubika mchakato wa zabuni nyeti ya matengenezo ya mfumo wa usalama ndani ya Benki Kuu...
Baada ya kutafakari kwa undani leo nimeona wacha niulize hapa hapa nisikie wewe wasemaje.
Waandishi wanachanganyikiwa na kushindwa kufuatilia matukio haya hadi mwisho ama ni kitu gani hutokea...
Hii nyeti na Chazo ni kutoka ndani ya Jumba lenyewe husika TRC AKA TRL.
Nimepatwa na mshtuko, kabla sijaweka mambo hadharani wakati naendelea kupata zaidi ushahidi kamili na vielelezo "SIRI"...
Austria's official state broadcaster is refusing to sack a senior political commentator who said blacks were not civilised enough to rule.
Klaus Emmerich, the retired editor-in-chief of...
Well, Tangu JK aingie madarakani na rafiki zake akuno lolote lile ambalo keshalifanya kwa ajili ya our national Interest be it domestically au Internationally. Najua wengi watashangaa kwa nini...
Najua wengine mtashangaa kwa nini Lunyungu anarudi nyuma lakini ni katika kuweka rekodi sawa .Ziara ya Kiongozi mkuu huyu iligubikwa na matukio mengi sana .Lakini TV yao yaani TBC walijitahidi...
Nimekuwa najiuliza hadi sasa sijapata majibu na labda kwa kuwa JF kuna wengi baso mengi yanaweza kuwepo pia .Nimeshuhudia magazeti na hasa TBC 1 wakiwa navipindi maalumu juu ya Uchaguzi wa USA...
Mafisadi wazidi kumtishia JK baada ya kuonekana anataka kuwamaliza kwa kusimamia kufutwa kwa wagombea wa Vijana wa Bara na kuwapa wa Zenji nafasi .Kufuatia ujumbe uliotumwa kwa JK baada ya Kikao...
Ewe mola unaesikia sala za watu wako wa jf na mafisadi bila kubagua twaomba kwa nguvu zako na uwezo wako
mbariki kijana wetu barack obama ashinde atika uchaguzi huu na
kuwa rais wetu mtarajiwa wa...
Ndugu wanajamii wenzangu,
Ni muda sasa kuna jambo ambalo limekuwa likinitatiza hasa pale ninaposikia maneno kama yule ni mkuu wa nchi anaweza kufanya lolote,usimcheze mtoto yule baba yake ni...
Wakuu
Heshima mbele!!!!
Ninawataka radhi kwamba nilikuwa mbali kidogo ya mtandao na hivyo sikuwa katika mijadala kwa takribani wiki 5. hata nilipopata kanafasi kidogo kuingia hapa jukwaani...
Makamba aigawa CCM
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MGOGORO unaotishia uhai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeshika kasi baada ya baadhi ya wabunge wa chama hicho, kuzidi...
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...
Mod na wana JF,
natanguliza kuomba msamaha kwa kuanzaisha thread mpya though related to EPA, nina hamu sana ya kutaka kuwafahamu zaidi ya majina watuhumiwa wa sakata hili!!!!naomba yeyote anaejua...
Samahani Mod, imenibidi niitenganishe hii mada ili kuwaomba wadau na hasa Mwanakijiji kupitia KHL wawatafute hawa wazee ili watoe mawazo yao kuhusu IOC kwa sababu zifuatazao:-
KAWAWA
Ni...
DECISION ON BERTH 8 OF TPA AS PART OF TICTS CONCESSION EXTENSION
______________
The following are important observations
The Decision:
1. PSRC has been informed that Berth 8...
Jamani hii habari imenishitua sana, nadhani huko CCM mambo si shwari na hili ni gazeti la serikali.
HabariLeo: Gwiji la habari Tanzania | Kundi la wabunge CCM lasuka zengwe la EPA
Kundi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.