....Change we Need! Blessed be the day when the ways of Dar es Salaam are changed, the way things are done in that Kivukoni White House and top down is the CHANGE WE NEED....
05.11.2008 @01:57 EAT
Airport drama as Sh1.4bn fraud suspect is arrested
By Mkinga Mkinga and Rosina John
THE CITIZEN
Police arrested a key suspect in the theft of more than Sh1.4...
Move over Barney, new dog moving into White House
Barack Obama's two daughters had another reason to high-five their dad's election to the presidency Tuesday night: they're getting a puppy...
Mabalozi Wanne Waandamizi wanarudi nyumbani baada ya muda wao wa kulitumikia Taifa aidha kustaafu kufika Kikomo.Mabalozi Emmanuel Mwambulukutu (South Africa),Ret.Maj.Gen Makame Rashid...
Habari za ndani toka hapa Kilimani zinasema wanachama wa jumba la baridi safari hii watakaa hapa Dodoma wiki 2 tu na kuondoka maana hawana la kufanya zaidi .Wengi wao walitegemea kwamba hotuba ya...
Government speaks out on TRL woes
THIS DAY
ADDING to the woes and worries of employees of Tanzania Railways Limited (TRL), the government has admitted that the company faces a serious...
..Kikwete amechimba mkwara wa 'kuwashukia' madikteta wa Afrika.
..hivi uwezo huo upo kweli, au ni usanii tu?
AU Takes Tough Stance On Dictators
28 October 2008
Pretoria...
Katika hotuba yake kwa mawakili wa Tanganyika Law Society kwenye hafla ya kuchangia fedha za kuanzisha Kituo cha Msaada wa Kisheria (Legal Aid), hafla iliyofanyika Ijumaa usiku tarehe 31 Oktoba...
HOTUBA YA JK KWA WANANCHI MWISHO WA MWEZI OKTOBA
HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI
TAREHE 31 OKTOBA, 2008...
Ujerumani walipoteza makoloni mengi wakati huo wa nineteen kweusi.
Walibadilisha Zanzibar na Helgoland.
Zanzibar ikawa himaya ya muingereza.
Je kama Zanzibar ingebakia kuwa himaya ya...
Katika hali ya kushangaza, muswada unaohusu hali bora za wanyama, uliowasilishwa hivi punde na magufuli umekosa wachangiaji. Waliokuwa wamejiandikisha kuchangia ni wawili tu-Job Ndugai na mbunge...
Date::10/30/2008
Serikali yatetea mkataba wake na Tanzanite One, wabunge waupinga
Na Daniel Mjema, Dodoma
Mwananchi
SERIKALI imesema madini ya Tanzanite hayawezi kuisha ifikapo 2012 hivyo...
Leo nimebahatika kukutana na habari inayomhusu Dr Boyd Graves, mtaalamu wa kimarekani aliyeamua kufichua siri kuhusu jinsi serikali ya Marekani ilivyotengeneza virusi vya HIV kwa malengo maovu...
Sidhani kama ni wazo zuri kwa Rais kuzungumzia suala la EPA tena. Sidhani kama wananchi kweli wanachotaka ni kumsikia akizungumzia historia ya EPA, kamati ilivyofanya kazi na yote yaliyojiri...
Taarifa inayosambazwa hivi sasa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya rais inasema kuwa rais atalihutubia taifa kesho chini ya utaratibu wake wa kuzungumza na wananchi kila mwisho wa mwezi. Rais...
Bunge katika kikao chao cha sasa limekataa kujadili hotuba tata ya Kikwete aliyoitoa bungeni kikao cha bunge kilichopita kwa kile ofisi ya spika ilichosema kuwa muda ni mfupi na hautoshi.
Muda...
BAADA ya kurudiwa kwa mtihani wa Hisabati wa kidato cha nne, mtihani huo ulivuja tena na ushahidi wake ni kwamba wanafunzi wawili wa kidato cha nne wanashikiliwa polisi mkoani Dar es Salaam kwa...
Nimepata habari ya kutatanisha kuwa moja wa wazeee waliolala barabarani amefariki baada ya purukushani na polisi. Naomba mwenye taarifa zaidi na za uhakika atuletee.
AWALI ya yote katika Bunge nje ya Bunge kipindi hiki nitakuwa na safu ya kugusia:
1. Yaliyostahili kuwa kwenye Bunge la Mkoa;
2. Yanayostahili kuwa ndani ya Bunge la Kitaifa
3. Yanayostahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.