Public Discourse II
Na. M. M. Mwanakijiji
Nilikuwa nazungumza na Mkulu mmoja wa idara siku chache zilizopita alisema kitu fulani ambacho wakati huo hakikunisumbua kichwa hadi sekunde chache...
Kwa muda nimeungana na waandishi wengine katika kukemea mauaji ya Watanzania wenye matatizo ya kijenetiki ya upungufu wa rangi (Albino). Wapo watu wengi na vikundi vingine ambavyo vinashirika...
NDUGU ninaamini kwamba ingawa hatuwezi kuwa na baba wa Taifa mwingine lakini kuna viongozi wenye heshima zao ambao wanatumika na nchi za nje wanaostahili kuishauri serikali, vyama vya kisiasa na...
HUKO Niger, sio Nigeria kama watangazaji fulani Tanzania wasiojua jiografia wanavyokosea kuna dada mmoja kaishtaki serikali yake kwa kushindwa kumlinda.
Ninauliza, je, kwa hapa Tanzania...
Heshima zenu wakuu,
Leo kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 6 kamili kulikuwa na maandamano yaa amani ya wanahabari ambayo yalianzia Mtaa wa Lugoda Jijini Dar es Salaam kuelekea Makao Makuu ya...
Taarifa zilizofika hivi punde ni kuwa wale wazee wetu wa iliyokua Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekuja na style mpya ya kushinikiza madai yao baada ya kuamua kufunga barabara ya Ali Hasan Mwinyi...
Heshima Mbele,
Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa muda wa mwezi sasa nimekuwa mtazamaji wa Jf Bila kuchangia maada yeyote na hii ilitokana na Hotuba aliyoitoa Muungwana pale Dodoma,Pia kufuatia na...
Ingekuwa heri JK uage sasa
MHESHIMIWA Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, salaam aleykum. Juma lililopita
niliwasiliana na Watanzania wote kwa njia hii...
Wazee wastaafu wa EAC wazuia magari ofisi za Hazina Dar
*Wapiga mawe gari la serikali mbele ya polisi
Na Fidelis Butahe
MIGOMO na harakati za kudai haki ambazo zimekuwa zikitapakaa kwa sura...
Wandugu,
Katika pita pita hapa marekani nimekumbuna na hili suala la uchaguzi wa majaji kuanzia Court of Common Pleas mpaka Suprem Court ( Katika Ngazi ya State). Hawa wagombea wa nafasi hizi...
Nimepata habari kutoka vyanzo vya kuaminika kuwa DPP alikuwa awafikishe Watuhumiwa wakubwa wa Ufisadi; wawili walikuwa Mawaziri waandamizi wa Awamu ya II na Katibu Mkuu 1 ambaye amekuwa Wizara...
Tunaweza kuwalaumu, tunaweza kuwabebesha kila aina ya lawama na pia tunaweza kuwabeza, kuwakejeli, na kuwanyoshea vidole. Ukweli utabakia kuwa yawezekana siyo kosa lao peke yao; ni kosa letu pia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Na Mwandishi Maalum, Pritoria
MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete, amesema umoja huo hautawavumilia viongozi wanaoingia...
Public Discourse 1 - Tuwaite Wahujumu Uchumi:
Na. M. M. Mwanakijiji
Ndio tumeamua kuwapachika majina ya uongo na hivyo kuficha uzito wa makosa yao na kwa kuwaita kitu ambacho sicho...
Judge attacked at rush hour
2008-10-27 12:45:09
By Rose Mwalongo
A man in his mid twenties smashed the windscreen of a vehicle carrying High Court judge Thomas Mihayo at a Dar es Salaam...
Nimepata habari kwamba Andrew Chenge ni mjomba wake DPP Feleshi. Huku Tanzania, mtoto hawezi kumshtaki baba yake!! Ni kwa nini DPP Feleshi haku declare "conflict of interest" kuhusu kesi ya...
* Atakiwa kulipa mamilioni
* Chanzo ni kanisa, ufisadi
* Ahusishwa pia na utumwa
Na Mwandishi Wetu - Majira
MWANASIASA mashuhuri nchini ambaye pia ni Mbunge wa Igunga (CCM), Bw. Rostam Aziz...
MADAI YA MALIPO YA WALIMU NCHINI
JK: Ama hatuna ufanisi kabisa
ama tumekuwa wadanganyifu
Na Mwandishi Maalum, Tabora
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa madai...
Wakuu naomba munisaidie, nimekutana na hii taarifa ikiwa na "Kaimu Mkurugenzi"... kaka yetu Salva yuko wapi? Nafahamu hata anapokuwa safari na Rais huko huko aliko huwa anatoa taarifa na hakuna...
Naomba kuuliiza Chadema kuna makamu mwenyekiti - visiwani(Mzee Said Mzee) ambaye mwenza alikuwa Marehemu Chacha Wangwe na naibu katibu mkuu - visiwani (Hamad Mussa Yusuf) mwenza wake akiwa Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.