Nauli kupanda baada ya bajeti madereva jeuri kufutiwa leseni Dar
Na Kizitto Noya
SERIKALI imesema itaongeza nauli ya magari ya abiria nchini ikiwamo daladala zinazotoa huduma jijini Dar es...
Baada ya Serikali kupeleka wrong message kwa wananchi , hapa majuzi nimeona malalamiko makubwa lakini wafanya biashara toka mikoani waliambiwa walete mali zao na zitanunulika .Sijajua kama...
Mama, mtoto wafia mapokezi ya hospitali kwa kukataliwa huduma
* Ni baada wauguzi kukataa kumhudumia mjamzito
Na Jackson Odoyo
MAMA mjamzito, Teddy Kimoso amefia katika mapokezi ya...
Wajasiriamali wamtimua Waziri Nagu
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WAJASIRIAMALI zaidi ya 500 kutoka mikoa 17 nchini na nchi jirani za Kenya na Uganda, jana walimtimua kwa...
Mkutano wa Sullivan: Al Bashir afananisha waasi na magaidi
Na Daniel Mjema, Arusha
RAIS wa Sudan, Omari Hassan Al Bashir, amesema waasi wanaoendeleza mapigano Jimbo la Darfur nchini humo...
Tarehe 8 mwezi wa Tano Mwafrika wa Kike aliandika thread hii akionyesha kuridhishwa na jitihada za Rais Kikwete za kupiga vita ufisadi. Katika post hii Mwafrika wa Kike anaahidi kumpa Rais Kikwete...
Posted Date::5/30/2008
Ufisadi BoT chamtoto
*Ripoti yabaini Sh 700 bilioni zachotwa kila mwaka
*Hii ni sawa na robo ya makusanyo ya kodi
*50% ya akinamama hujifungua kwa wakunga wa jadi...
Thomson Financial News
Aminex says Kiliwani North-1 well test results successful, exceeds expectations
06.04.08, 7:33 AM ET
LONDON (Thomson Financial) - Aminex Plc. said the test results...
Waziri Mkuu Pinda ageuka mbogo Dodoma
Ma Michael Uledi, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewajia juu wananchi waliolipwa fidia maeneo ya viwanja vilivyochukuliwa na Chuo Kikuu cha...
Kutoka daily news:
Serikali ya Tanzania itapata dola zisizopungua milioni 24 za Marekani (zaidi ya Sh bilioni 24) katika miaka mitatu ijayo kwa kuwa bandari ya Dar es Salaam itatumika...
WanaJF,
Katika pitapita zangu nimeona hatuna thread ya Political cartoons. Sometimes we need humour hata katika yale yenye kutuumiza kiakili. Kwa hiyo nimechukua fursa hii kuiazisha thread hii...
Kwa kuwa lengo la kwanza la CHADEMA wakiingia madarakani ni kuitisha mkutano wa Katiba sasa na kwa matazamo wangu nadhani kama hilo ni lengo wa kwanza basi CHADEMA haina sera kwa sasa. Kwa nini...
Yaani Kama mchezo wa kuigiza vile!
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Imefikia wakati sasa wananchi wa Tanzania ambao wamekuajiri kuwa rais wao wapewe heshima na usikivu wanaostahili. Mambo...
Okay!
Habari kwamba kuna watu wanatoa vitisho huko serikalini kuwa watabomoa serikali ya Kikwete kama akiwashughulikia kwa makosa yao ya ufisadi zimefikia kipimo cha juu kabisa cha uvumilivu...
Jana afisa habari wa CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) Frolian Kaijage, Alifanya press conference na kutangaza viingilio vya mechi ya TAIFA STARS NA CAMEROON, cha ajabu hawa jama wa TFF...
WAkati ule ulikuwa ni wakati wa "UKWELI na UWAZI" Kauli yako hii ndiyo Azimio lako utabaki nalo milele na kamwe itakuwa hivyo kama Mwl Nyerere alivyotetea Azimio la Arusha hadi sasa. Sisi wananchi...
Kama kawaida yao wapinzani wanakosoa tu kila kitu ccm inachofanya. Badala ya kujenga vyama vyao vya kikabila kama chadema, tlp, na nccr mageuzi na kile cha kidini cha cuf, wao wanajazana kwenye...
MARA NYINGI KUMEKUWA NA KULAUMU UPANDE WA SERIKALI YA KARUME KAMA NDIO KISIKI CHA MAPATANO YOYOTE YA MUAFAKA KATI YA CCM ZANZIBAR NA CUF. LAKINI UKWELI NI KWAMBA CCM DODOMA NDIO WENYE MPINI WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.