Waraka mzito wa maaskofu kwa JK
na Kulwa Karedia
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MAASKOFU wa makanisa kadhaa kupitia kile wanachokiita Ushirika wa Maaskofu Tanzania, wameandika waraka maalumu...
Muda si mrefu ujao Bunge letu litajadili mswada wa mortgage (neno la Kiswahili au kiarabu sina) ili kurahisisha watu kupata mikopo ya kununua/kujenga nyumba zao wenyewe. Binafsi sijauona lakini...
Kifo cha Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Balali kinaonekana kugeuzwa kuwa mtaji wa kisiasa miongoni mwa vyama vya siasa nchini.
Kwa mfano, vyama vilevile na wanasiasa...
Kati ya vitu ambavyo vimenisumbua binafsi na kunifanya kurudia tena wito wa kuifanyia marekebisho sheria ya Majukumu na Kazi za Mwanasheria Mkuu (Office of the Attorney General - Discharge of...
Wanajamii hebu tulijadilini hili.
Toka amefariki Dkt Daudi Ballali kumekuwa na mijadala mbalimbali kwenye vyombo mbalimbali vya habari, wanasiasa na hapa JF ambapo kuna post nyingi sana. Lakini...
Mnyika amwaga radhi Magu
na Osoro Nyawangah, Magu
MKURUGENZI wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameitaka serikali kufuta jeshi la jadi, maarufu kama...
Siku nyingi nimekuwa nikisikia kauli kadha wa kadha, mathalani "mavazi haya ni kinyume cha maadili ya mtanzania", au kitendo alichokifanya juma cha ni "kinyume cha utamaduni wa Mtanzania". lakini...
MAFISADI YALIYOKUBUHU SERIKARI AWAMU YA NNE
Ndugu JK ..Watu wananchi wanasema hivi:
(1). Tanzania ni nchi yenye rasimali na utajiri wa hali ya juu Afrrica na ulimwenguni, lakini ni...
Yes its PM and not AM kwa sababu najua 3 am atakuwa analala tuu but be honest Can you really trust this guy with our national security?
Personally i wouldnt trust him with anything. He is not...
Mzimu wa Ballali waitesa Ikulu
na Tamali Vullu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MZIMU wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Ballali, bado unaisumbua Ofisi ya...
duh hawa jamaa sio utani,yaani kila safari timu ya taifa kiongozi anatoka TFF,ukiachilia ile ya burkina faso.
uonhoziw a juu wote unaenda australia hakuna hata kiongozi kutoka ZFA.
mafisadi kweli...
Nimekuwa nafuatilia malumbano yaliyoshamiri baina ya chama cha CUF na CCM kuhusu mapendekezo ya vyama vyote viwili kutaka kuwe na Serikali ya Mseto Visiwani Zanzibar.
Wakati katika upande wa...
This Day (Lagos)
28 May 2008
Damilola Oyedele
Abuja
The Federal Government yesterday said it would seek appropriate compensation for properties lost by Nigerians during the xenophobic...
Karamagi vows to stick to his words
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN
Former Energy and Minerals minister Nazir Karamagi said yesterday that he stood by his account of the ownership of the...
Nimesoma tetesi kuwa Marehemu Ballal atachomwa moto na sio kuwa atazikwa. Kwa nini watanzania walioko US wasiwasiliane na mwanasheria mkuu au kuomba mahakama izuie kuchomwa kwa Ballal mpaka mwili...
Mimi nina swali ambalo nimekuwa nikitaka kuuliza watu humu ktk hii foramu, nalo ni kwamba, hivi ni kwanini ktk kila habari ninyosoma watu wanalalamika tuu kuhusu nchi yetu na watu wetu? Hakuna...
Ebu Oneni Picha Kwa Kubwa Japo Si Nzuri ,naona Sasa Kama Tunapelekwa Kwenye Ukabila Pole Pole Na Watu Hawa Walioishiwa Sera Na Mitaji Ya Kisiasa,ebu Angalia Lowasa Alipotemwa Akaenda Jimboni Kwake...
What happened? why did it happen? do you have any idea who did it and why? do you believe it. What next!?
KLHN will air a Live Show on Sunday at 2:00PM EST (1:00PM CST, 9:00PM East African Time)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.