...waziri wa michezo na utamaduni ni john mkuchika ..huyu ni kati ya wale marafiki wa kikwete alioingia nao jeshini akiwamo..marehemu capt.ukiwaona ramadhani mwinshehe ditopile mzuzuri,luteni...
Wataznania
Wote mnakumbuka adha ya Loliondo na watu wa kule , mnakumbuka wanyama kusombwa kwenda Arabuni na Ulaya , mnakumbuka Utalii kukabidhiwa wageni yote haya kwa kiasi kikubwa yalifanywa na...
Kwa siku kadhaa sasa machafuko dhidi ya wahamiaji yamepamba moto huko Afrika ya Kusini. Hadi hivi sasa wananchi wa nchi kadhaa za Kiafrika wameuawa na idadi yao imefikia karibu 40 hivi. Miongonni...
DOUBLE NATIONALITIES
Serikali imekataza kuwa na uraia zaidi ya uraia mmoja. Yaani kama wewe ni mtanzania huruhusiwi kuwa na uraia zaidi ya Utanzania. Inasemekana Balali alikuwa na uraia mwingine...
Mafia, name for an open-ended association of criminal groups, sometimes bound by a blood oath and sworn to secrecy. The Mafia first developed in Sicily in feudal times to protect the estates of...
KATIKA GAZETI LA LEO MWANAHALISI KUNA HABARI ZA KUWA MAKAMBA AMELAZWA HOSPITALI YA APOLLO HUKO NEW DELH,
mwenye data amwage hapa isije ikawa wameshamkolimba hawa, manake hawaaminiki...
wengi wetu ni kiwa mimi ni mmoja wapo simjui vyema Marehemu aliekuwa Gavana wa nchi yetu Tanzania.
kwa mara ya kwanza kumsikia na kuwa na intention ya kumsikiliza ni pale wimbi la wizi wa fedha...
Heshima wakuu
Nawapongeza CUF kwa kutafuta haki za wapemba huko visiwani zenj.
Watz wote wanatambua lengo kuu la mupambano huu ni kubaguliwa kwa wapemba na serikali ya zenj iliyojaa waunguja.Ni...
We Fisadi Mkono acha hizo za kuropokaropoka!...What about Fisadi Mkapa, Fisadi Chenge, Fisadi Lowassa, Fisadi RA, Fisadi Mzindakaya, Fisadi Mramba and many others mafisadi including yourself? Why...
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete amesema nchi za Afrika zina utashi wa kuwa na serikali moja lakini zinatofautiana katika masuala machache ambayo yanaweza kutatuliwa...
Jamanie, hivi ni kweli kuwa yule muhehe Balali kafariki? Kusema kweli, kama amefariki, mimi nawapa pole sana wanandugu wake. kwasababu anaweza kuwa alitumika kama chambo tu kwa mafisadi walio na...
Baada ya kuwa na tetesi kuhusu chanzo cha kifo cha Ballali ambapo tangu nijiunge na JF nimekuwa nikisoma kwamba huyu marehemu walim-poison muda mrefu baada ya harakati za kuvuna fedha pale BoT...
Achana na hizi alinacha JK! Serikali moja ya Afrika Mashariki nanga inapaa tutaweza Serikali moja ya Afrika nzima kweli!? :confused:
Cha muhimu ni kuwa na currency moja kwa Afrika nzima na...
POLISI wamekubali kuwaachia kwa dhamana Wapemba inaowashikilia pamoja na kusisitiza kwamba kitendo cha wao/na yeyote kudai kujitenga kwa Wapemba ni kosa la Uvunjaji wa wazi wa KAtiba ya Jamhuri...
If Balali died in the State of Maryland:
Overview
When someone dies suddenly, is found dead or is killed, family members and police investigators have many questions...
Nimetafakari wasifu wa aliyekuwa Gavana wa BoT Dr. Daudi Timoteo Saidi Balali, na sijaweza kuona sababu ya mtu aliyekuwa na wasifu na kipato kizuri sana (hata kabla ya huo ugavana) kujihusisha na...
Moses Mujibila aachia ngazi
2008-05-22 11:42:10
Na Mary Edward, PST Dodoma
Hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Tawala Tanzania Bara, Bw. Moses Mujibila aliyetoa shutuma nzito kwa...
Kama ilivyoada kwa mafisadi wengi hujitutumua sana kwa ajili ya kujionyesha kwamba wanamshiko wa nguvu wakaweza kujenga ama kununua majumba ya kifahari ama kununua magari ya kifahari, huyu Ballali...
CUF's letter to JK
By Polycarp Machira
THE CITIZEN
The opposition Civic United Front yesterday disclosed that they had sent a letter to President Jakaya Kikwete asking him to personally...
Ndugu zangu wana JF ni muda si mrefu nimetoka kuzungumza na ubalozi wetu wa hapa Marekani!
Sikufurahishwa sana na maongezi yetu!
Hata hivyo kabla ya kusema lolote...Naomba tujadili ni nini hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.