Napenda kuwataarifu kuwa mwana JF mwenzetu, Mzee Shughuli Bwana, amechaguliwa na watanzania wenzake wanaoishi nchini Uholanzi kuwa kiongozi wao. Mzee Shughuli Bwana alichaguliwa kwenye mkutano wa...
Ruling party sweats over grand corruption scandals, muafaka
By The Citizen Team
Chama Cha Mapinduzi (CCM) says the recent war against graft is being over-amplified by the media on their...
Habari za usiku huu wana Bodi,
Kwa mujibu wa habari toka Karatu,Dr Wilbroad slaa amepokelewa kwa ndiriomo na vifijo jimboni mwake nbaada ya kushinda kesi ya uzushi iliyotolewa na watu...
Beware of thieves called 'mafisadi'!
Lusekelo
Daily News; Sunday,May 18, 2008 @00:06
CCM members in Mbeya region, and indeed all over the country, have not been exactly tickled dizzy by...
kutwambia Watanzania nani ni mmiliki halali wa mgodi wa Buhemba? Je, katika kikao kijacho cha bunge kitakachoanza June 10 Waziri wa Madini, William Ngeleja ataweza kutwambia Watanzania ni nani...
Norconsult reverses decision to pull out
By Tom Mosoba
THE CITIZEN
Norwegian international engineering consultancy firm Norconsult AS, which two weeks ago announced the closure of its...
Najaribu kujiuliza kama kweli muafaka, mapatano na umoja wa Zanzibar na hatima ya Taifa letu vinaweza kufikiwa bila kuzungumzia kwa uwazi na ukweli matukio yaliyosababisha mapinduzi ya 1964...
Sasa sisi bado tunasubiri majibu???!!
The unanswered questions
David Leigh The Guardian, Wednesday May 7 2008 Article historyAbout this articleClose This article appeared in the Guardian on...
Yaani amini usiamini Qurani haikubakisa kitu ,nilipoisikia habari ya mafisadi ,nilijaribu kusoma soma na kutafuta kama kuna ukweli wowote wa haya yaliibuliwa ndani ya Tanzania kuhusu wabadhirifu...
Kesi ya msingi kuhusu tume huru ya uchaguzi inatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii na mchungaji mtikila .
Kesi hii itakuwa na mvuto kwa watanzania na wadau wengine, je mahakama...
Hivyo viongozi waliopo madarakani wanachokifikilia ni kipi juu ya amani ya nchi yetu. Wanafikili kutumia mabavu na khofu ndio nguvu ya kuweka amani. Sivyo kabisa. Yote ni kuendelea kujenga uhasama...
na Mwanne Mashugu, Zanzibar
TD
SAKATA la kuvunjika kwa mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mpasuko wa kisiasa Zanzibar, limechukua sura mpya, baada ya makada wa CCM Zanzibar kufufua ubao wa...
Remembering Mbuyisa Makhubo and others who fought oppresion. This day is coming to Tanzania. It is coming faster than we can think and imagine. Mungu tuepushie balaa hili.
Waungwana hebu tujadili kidogo. Ni kwanini viongozi wakiwa wanawania nafasi ya umma (public office) wanakuwa waungwana mno ila wakishapata madaraka wanabadilika ghafla kuliko hata wale...
..every combatant must return home.
..nimesikitishwa sana na habari kwamba askari wetu aliyetumwa Comoro alizama baharini na mwili wake haujapatikana mpaka leo.
..kilichonishangaza ni kwamba...
na Waandishi Wetu.
MD
KUKWAMA kwa mazungumzo ya kusaka suluhu ya mpasuko wa kisiasa Zanzibar, na matukio ya hivi karibuni yaliyohusisha kukamatwa kwa watu kadhaa wakazi wa Pemba...
Rais Kikwete sasa aendeleza 'mduara'
Na Saed Kubenea
Mwanahalisi
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya tano ya Baraza la Mawaziri tangu ashike madaraka ya kuongoza nchi, takribani...
Source Majira 17 May 2008
Tahariri
HABARI kuu katika gazeti la leo ni muendelezo wa kufichuka kwa siri za ndani zaidi katika ufisadi uliofanywa kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu...
Muafaka: JK sasa mambo mazito
2008-05-14 16:09:08
Na Usu-Emma Sindila, Buguruni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bwana Jakaya Kikwete sasa amewekwa kwenye mtihani mgumu kufuatia...
....mbili b na o au bo, basi waulize wanachama, mashabiki na wapenzi wa JF ambao wiki hii waliathirika kutokana na ukumbi wao maarufu kulazimika kubadilisha jina kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.