Huyu bwana alikua mstari wa mbele sana katika kumtengenezea muungwana njia ya kuelekea ikulu na tafiti zake zilizokuwa zimejaa uzushi. Sasa najiuliza kipindi hiki ambacho muungwana anamhitaji ze...
iko wazi By Now Kwamba Kuna Group Zimeanzishwa kwa Nia ya kukigawa Chama,flag Bearers wanajulikana.
swali Linakuja, Ra Kama Mmoja Ya Viungo Muhimu Kwenye Siasa Za Kifisadi,yuko Upande Upi?
ra...
Miundombinu waziri ni kawambwa,naibu wake chibulunje. Mawasiliano waziri ni msola, kilimo waziri ni wasira na tamisemi waziri ni celina kombani.
Sioni jipya
Ndiyo nimeibuka kutoka hapa Kurasini kwa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania na maneno ya kichwa cha habari hicho ndiyo maneno nimeambiwa nimweleze Mh. Zitto kupitia njia yeyote ile. Kwa kuwa...
kama hicho kiwanda kitasaidia wananchi, wanaohangaika wanatamani tu hata hao flamingo wangekuwa karibu wawakamate wawachinje walau wale nyama tu manake maisha magumu, sioni kama kuna umuhimu...
UFISADI: Viongozi wameiweka CCM kwenye Auto-Pilot?
Johnson Mbwambo Mei 7, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WENGI wetu tunafahamu kwamba ndege kubwa ya abiria inayosafiri masafa...
Wadau imejiri kwamba serikali inawabana watu wasiwazomee mafisadi na wakulu wa matawi ya juu wameshatangaza kula sahani moja na wanaozomea mafisadi.
Hizi ni dalili za kidikteta na zisipokemewa...
Shamhuna na kadhia ya uhuru wa habariNa Jabir Idrissa
ALI Juma Shamhuna ni Waziri wa Habari katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Ni mjuzi wa mambo na anajua huwa anajua hasa maana ya kile...
Naiweka hapa ili watu mjue kuwa inaanza.
Kila ukitaka kuanziaha hoja mpya (Thread) basi utakutana na Prefix hivyo itumie kwa adabu. Wengine wanaweza kuweka Very Important: kumbe ni issue ya...
Wakili Tundu Lissu aliwaaibisha waliofungua kesi hii dhidi ya Dk Slaa, hivyo kama sheria zikifuatwa Dk Slaa atashinda na walalamikaji kuamriwa kumlipa gharama zote za kesi hiyo. Kama mjuavyo...
Malumbano haya ya CCM na CUF hayatufikishi kokote
Mhariri
Daily News; Thursday,May 15, 2008 @00:01
Katika kipindi cha siku nne zilizopita tumeshuhudia malumbano, lawama na makombora ya maneno...
Uamuzi wa Serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Kyela kwa ajili ya waathirika wa mafuriko makubwa yaliyotokea wilayani humo, unamuumbua RC wa Mbeya ambaye kwa mwezi mzima sasa amekuwa...
Madiwani wapewe meno kudhibiti watendaji
David Azaria
Daily News; Tuesday,May 14, 2008 @21:01
Majuzi madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani Mwanza na wabunge wao watatu...
Save Afican's Flamingos- campaigns
Dear Travellers,
Birdlife, Animals and Natural Resources Conservator!
Please, read this article and take serious action by Serving Lasser Flamingos at Lake...
Cheyo: Don't fete suspects
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN
An Opposition legislator, who chairs the Parliamentary Local Authorities Accounting Committee, Mr John Cheyo, yesterday criticised...
Majuzi watu walipata shida sana kulisoma gazeti la TD on time.Wakaanza majungu hapa mara wamenunuliwa , oh mara waoga , oh mara hawana pesa.Wengi tukasema ulikuwa ni upuuzi maana hatuwasaidii TD...
EYE SPY : His Excellency the 'fisadi'
Adam Lusekelo
THIS DAY
DAR ES SALAAM
POLICE in Dar es Salaam have goofed again. They have arrested the wrong guys. They have arrested five young men...
Na Ndimara Tegambwage
WIKI iliyopita kulikuwa na taarifa katika vyombo vya habari juu ya vijana waliokamatwa kwa madai ya kumtukana rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Kutukana ni kosa la jinai...
Kama hili ni kweli, basi hawa CUF wanataka kutuletea balaa kubwa sana
CUF watishia kujilipua
na Mwandishi Wetu, Pemba
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENENDO wa mambo visiwani Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.