I wrote this piece almost 2 years ago. It still holds its value the only thing I would have added was Ufisadi.
Lakini I am sticking to the core theme, Taifa being Lost in Transition, hence...
Niliwahi kusikia kwamba Kigoda alipokuwa Waziri katika sirikali ya Mkapa alikuwa akipita nchi mbali mbali za magharibi kutafuta makampuni ya uchimbaji wa dhahabu yaingie mkataba na yeye na Mkapa...
Mtu - Jakaya Mrisho Kikwete
Rafiki zake:
- Marehemu Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (alijiuzulu baada ya kutuhumiwa mauaji)
- Edward Lowassa (alijiuzulu kutuhumiwa matumizi mabaya ya cheo)
-...
Waungwana, hawa wabunge wa CCM wanaonyesha upumbavu wao wa hali ya juu na kutaka kuwatumia lawama watendaji wa TANESCO ambao hawahusiki kabisa na matatizo ya shirika hilo.
Uendeshaji wa TANESCO...
Member of Parliament demand audit findings on four companies
By Damas Kanyabwoya, Dodoma
THE CITIZEN
MPs yesterday asked the Government to explain why audit reports on three controversial...
JAMANI WATANZANIA NINATAKA KUJUA HUYO NDIO BEN WA KIWIRA NA WA KWENYE BBC 1997 NI MMOJA? SOMA ZAIDI NA WEWE ULINGANISHE
Source http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/monitoring/29741.stm
Excerpt...
JAMANI HIZI HELA ZILIFANYA KAZI ZAKE AU ZIKO MIFUKONI MWA MAFISADI?
Source http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/1535800.stm
Monday, 10 September, 2001, 15:53 GMT 16:53 UK...
Habari zinazoingia mida hii zinasema kuwa aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini na mbia mkubwa wa Mgodi wa Kiwira Bw. Daniel Yona amejitokeza na hatimaye kuzungumzia madai kuwa yeye pamoja na Rais...
Bob Mkandara, ni mtu ambaye amejikwamua kiubunifu na kujijenga kiuchumi. Ni juhudi zake mwenyewe na kutokukata tamaa au kutafuta njia nyepesi na rahisi kujipatia pesa kukimu maisha yake ndiko...
Hii habari hapa chini toka Raiamwema ni uwongo mtupu. Mwandishi ameshindwa hata kutambua jambo rahisi la kujua kwamba Dr. Mwakyembe sio mjumbe wa NEC ya CCM.
Acheni kuutumia mkoa wa Mbeya...
Wazalendo mimi binafsi naamini huu ni wakati
Katika chuo kikuu cha Dar es saaam,Baada ya uchaguzi wa wanachuo kuaanza ilionekana kuna mgombea alie chaguliwa tayari na viongozi sijui ni wakinanani...
Wazalendo mimi binafsi nadhani sasa ni WAKATI.
Katika chuo kikuu cha Dar es saaam,Baada ya uchaguzi wa wanachuo kuaanza ilionekana kuna mgombea aliyechaguliwa tayari na viongozi,sijui ni...
Posted Date::4/23/2008
Waziri Mkuu Pinda atakiwa kufuta kauli yake kuhusu mafisadi
Na James Magai
Mwananchi
KITUO cha Seria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda...
Time for Mr Clean to `come clean`
-Ex-president said to be preparing long-awaited response to simmering corruption charges
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
FORMER president Benjamin...
ORODHA YA MAFISADI
(LIST OF SHAME)
KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA
A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO VYA UFISADI
Katika kundi hili wamo viongozi na/au maafisa wa umma na/au...
Nani kumfuata Chenge? (Tanzania Daima)
na Mwandishi Wetu
KUNA kila dalili kwamba, mkakati maalum wa kuwasafisha kwa zamu mawaziri wanaoandamwa na tuhuma za kifisadi ndani ya...
LET'S hear it for Tanzania. Despite being one of the world's poorest nations, it has become a role model in how to reach global targets for reducing death rates of children and mothers - putting...
Hivi, Nani amewaambia Jumanne magimbi na Mukandara kuwa kufukuza wanafunzi ni solution? Hivi, fuju huwa inajibiwa kwa fujo?kama ndo hivyo, mbona tumeone failure nyingi sana kwa US kufikiri ataleta...
Ndugu wana jamvi JF, Nimekuwa nikifuatilia sakata la Habari coorperation kutaka kutumia waandishi/magazeti yake kusafisha MAFISADI na Atilio tagalile akawa hayupo tayari kwa hiyo. Naona gazeti la...
Dk. Slaa aigomea sheria ya maadili
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya watu
MBUNGE wa Karatu na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.