Kikwete kazi kwako, omba pesa zote za mafisadi katika bank za nje ya nchi na hata ndani ya nchi zirudishwe Treasury.
Swiss return first Abacha funds
BBC News Online
Friday, 19 December...
Swiss return first Abacha funds
BBC News Online
Tuesday, 14 December, 1999, 13:08 GMT
Sani Abacha ruled Nigeria from 1993 until his death in 1998
Officials in Switzerland have approved...
Huu si ndio ule unaodaiwa kuwa ni wa mkapa??
Mkapa umefikia hatua hii???
WANANCHI waliohamishwa kupisha ujenzi wa Mgodi wa Buzwagi, wilayani Kahama jana
walitawanywa kwa risasi na mabomu...
KITUO cha Seria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufuta kauli yake ya kuwa Serikali inashindwa kuwachukulia hatua za kisheria watuhumiwa wa ufisadi waliojichotea...
UKWELI KUHUSU YA MATUKIO YA VURUGU YA 17 NA 22 FEBRUARI NA 11 APRILI 2008 KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
UTANGULIZI:
Tarehe 15 Aprili 2008 Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilitoa taarifa...
Historia haijafikia tamati
Jenerali Ulimwengu Aprili 23, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Kitendo
KUKOSEKANA kwa mwelekeo ndani ya chama si ugonjwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) peke yake...
Waheshimiwa,
Nimeamua kuanzisha leo Mkakati Kazi (Action Plan) wa Vita Dhidi ya Ufisadi.
Mkakati huu unaanza kwanza kwa kufuta mazingira ambayo yanafanikisha ufisadi, kwa kupeleka kesi za...
Wind of change blows in Tanzania
By Daniel Dickinson
BBC News, Singida, central Tanzania
They have seen the future - but will it work?
A group of villagers gather at the local bicycle...
Nyufa zimezidi, nyumba hatarini kuanguka
Johnson Mbwambo Aprili 23, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Kitendo
MARA kwa mara napenda kuwaambia marafiki zangu (wanapojali kunisikiliza) kwamba...
KAMPUNI ya Maji safi na Maji Taka mkoa wa Dar es Salaam (Dawasco) jana ilianza tena oparesheni maalum ya kukata maji kwa wadaiwa sugu 112, wakiwemo waliowahi kuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu...
JAMANI KAMA IMESHAWEKWA MAHALI BASI Moderator iunganishe. Nimeipata kwenye email...........
Habari Ndio Hiyo ..
Ndugu JK.....Watu wananchi wanasema hivi:
(!).Tanzania...
Kwenye msiba wa familia moja iliojikusanya pale Dar na kwenda Hedaru kwa mazishi, palikuwa na watu kibao tangu Alhamisi ya April 17 2008 mpaka mazikoni.
Kama kawaida ya jamii zetu, ndugu jamaa...
Ukubwa wa baraza la mawaziri ni ufisadi mkubwa sana, nasema hivi kwa sababu nchi zilizoendelea tena zinazochangia bajeti yetu zina baraza dogo la mawaziri kuliko TZ. Kenya nchi ambayo hakuna...
XXV. ENEZA TAARIFA NA ELIMU YA URAIA: Ukichambua kwa makini utagundua kuwa chanzo kikuu cha matatizo mengi miongoni mwa wananchi ni kukosa taarifa ama elimu ya uraia. Wapo wananchi wanaonyanyashwa...
Baada ya kupata kichefu chefu kilichosababishwa na mafisadi hadi wengine kuachia ngazi mwenzenu nimebaki na swali moja ambalo jibu lake sijalipata naomba Wana JF nisaidieni. Swali lenyewe ni hili...
Jamani Chenge kaachia ngazi,kafuata nyayo za Lowassa,Karamagi na Msabaha.Mpooo?
Mimi bado nashindwa kuelewa hao wanaompongeza chenge kama walivyompongeza Lowassa wana maana gani?kujiuzulu kwa...
Wana JF,
Tume ya maadili imekataa kutoa forms za maadili za viongozi mbalimbali ambao wanatuhumiwa kwa ufisadi nchini.
Mimi nashauri JF tuingie kazini na kuzitafuta hizo forms hata kama...
Posted Date::4/21/2008
Rais Kikwete lichambue upya Baraza lako la Mawaziri
Mwananchi
HATIMAYE aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, ameachia ngazi baada ya vyombo vya habari...
Stoltenberg confronts problems in Africa
Prime Minister Jens Stoltenberg was greeted by a cannon salute and waving Norwegian flags when he arrived in Tanzania on Monday, but plenty of problems...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.