Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wana JF, Ikiwa huyu mkurugenzi aliyechota Sh4 bilioni za NBC ameweza kushitakiwa kwa kosa kubwa la kuhujumu uchumi, hivi haitawezekana kwa wale walioiba za BOT na hata wale wa Richmond...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania inadaiwa iko mbioni kuleta washauri wapya wa Ikulu na Wizara mbalimbali. Washauri hao toka nchi za Scandinavia wanatarajiwa kuingia nchini wakati wowote ili kusaidia kutoa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Jana katika taarifa ya habari ya star TV,kilitokea kituko cha mwaka kuhusiana na uwanja mpya. Mhe naibu waziri,Bendera aling'aka kuhusiana na TFF kudai mechi za timu ya taifa lazima zichezewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
EDITORIAL: Plunder of minerals must be stopped now EDITOR THIS DAY DAR ES SALAAM TANZANIA is undeniably one of the few African countries endowed with rich mineral resources, ranging from...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapo zamani katika kisiwa kimoja cha kifahari kulitokea kiongozi mmoja matata sana alipendwa na watu wake kutokana na utendaji wake wa kazi tokea ujana wake mpaka siku hiyo ambayo yeye mwenyewe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu anayo mafaili ya huyu bwana au picha akiwa na radicals kisha tujue kama alikuwa si radical enzi zake wakati anasoma University. Waziri mzima badala ya kureason na hawa wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Walioandamana kumpinga Dk. Ngasongwa kushitakiwa na George Maziku WANANCHI walioandamana wilayani Ulanga, mkoani Morogoro kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kumwacha Dk. Juma Ngasongwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna mdau mmoja anajiita zikchvieck motseck na Email yake ni <motseck@gmail.com> akiwa anatuma ujumbe huu:Asanteni sana kwa kuniunga mkono na jamboforums.com Na dhamira yake SI NJEMA hata kidogo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
RELIGIOUS leaders and Civil Society Organisations (CSOs) have called on the government to ensure that companies that are involved in large scale mining be forced to pay reparations for the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Mimi nimekuwa mwanachama hapa JF kwa miaka...lakini kwa kipindi hiki cha sasa mambo yamebadilika kwa kasi kiasi kwamba napitwa na mijadala mingi. Naombeni tupeane mbinu za kuwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi kweli Tanzania haina mzalendo yeyote mwenye sifa za kuwa mshauri wa viwanda mpaka tupate kutoka Japan? Au ndio kuomba fedha kwa njia mbadala? Nasikia kichefuchefu kwa hii tabia ya ombaomba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
ANALYSIS: Shifting from dollar use in oil exportation: End of the dollar’s reign? THISDAY CORRESPONDENT Dar es Salaam SHIFTING sands are being noticed in a breadth of countries, led...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kimya hiki kiwe na mshindo&#8230; Chesi Mpilipili Machi 5, 2008 Raia Mwema NAKIRI kufurahishwa na staili mpya ya utendaji kazi aliyokuja nayo Waziri wa zamani wa Wizara ya Viwanda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari nilizozipata kupitia kingo za ukuta za kuaminika, viongozi waandamizi wa Habari Corporation wameanza kujiuzuru mmoja mmoja baada ya kushinikizwa na Rostam Aziz kumsafisha kupitia magazeti...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
EXPERIMENTS on rainmaking technology in the country have stalled due to lack of funding, Minister of State in the Vice President’s Office (Environment), Dr Batilda Buriani, said today. Dr Buriani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maskini, Tz yetu (si yao)! Pamoja na kuyasikia hayo ya TICTS 'Tiscan' huko bandarini kama yalivyoelezwa na kamati ya bunge miundombinu pia kwenye gazeti la Thisday, KUNA NYINGINE NILIKUTANA...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Hii inaweza kuwa ya mwaka. Mteja mmoja wa benji ya azania bancorp amejikuta akiibiwa sh milioni 10 katika mazingira ya kitapeli akiwa ndani ya benki; bwana huyo anasema kuwa aliingia ndani akiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anybody with a clue of what happened with Jump TV and Tz TV Stations?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Linapokuwa suala la dawa za ARV ambazo hutolewa bila malipo kwa walengwa, kinakuja kichekesho. Kwanza wafamasia wanasema kuna uwezekano mkubwa watumiaji wanatumia dawa hizi chini ya dozi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom