Kuna haja ya kumuuliza JK, huu utamaduni wa mafisadi waliokupua mabilioni ya mapesa ya walipa kodi na hatimaye kuzirudisha pesa hizo huku wakiendelea kuwa huru umetoka wapi!? Kwa nini wasirudishe...
Ndugu zangu, kulingana na HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO WA TAKURU, MBEYA, 20 FEBRUARI, 2006 ilikuwa inawapa mwanya...
Ilikuwa ni safari ya kifo cha uhuru wa habari Tanzania lakini sasa uhuru umerejea. Ni ushindi wa wana JF (wasomaji na waliojisajili) wote.
Naomba kutoeleza chochote zaidi lakini nipeleke shukrani...
kimtazamo naona wapinzani waachane na kumaliza nguvu kwenye kiti ch uraisi badala yake waongeze nguvu kwenye Ubunge.
Naimani kuwa kama hivi vichwa vyote vya Upinzani CUF, NCCR, CHADEMA n.k...
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kutokana na kashfa ya mradi wa umeme wa Richmond, Edward Lowassa, sasa anaelezwa kufanya mambo ambayo ni dhahiri yanamchimba Rais wake, Jakaya Mrisho Kikwete, kwa...
Hivi sasa ndiyo kwanza nimemaliza kusikiliza tarifa muhimu kwamba ile Tume ya Rais ya EPA ya kuchunguza ubadhirifu wa fedha za malipo ya akaunti ya madeni ya nje pale BoT imeeleza kuwa imefikia...
SERIKALI imekiri kupokea barua ya Umoja wa Waislamu wa Arusha (AMU) iliyoandikwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, na kuahidi kuwa italijadili kwa kina suala hilo.
Umoja huo juzi...
Na hii ndio hospitali yetu ya rufaa! Nilidhani sehemu nyeti kama hiyo umeme ukizimika tu basi majenereta yanaanza kazi mara moja, kumbe sivyo! Wafungue kesi dhidi ya Muhimbili
Posted...
TAFAKURI JADIDI
Kama vile tumelogwa au kulaaniwa
Johnson Mbwambo
MSHINDI wa Tuzo ya Nobel katika tiba, James Watson, mwishoni mwa mwaka jana alirushiwa makombora ya shutuma...
GARI la Naibu Waziri wa Usalama wa Raia MOHAMED ABOUD Mohamed, lenye alama, NW-UR,aina ya GX, limeibiwa na dereva wake aitwaye Tumaini Mbaga, ametoweka tokea Jumamosi iliyopita.
Well, well,well sasa twaanza kuona ni jinsi gani misheni zilivyoanza andaliwa na hawa jamaa wawili.
NdiyoMorani kaachia ngazi, lakini hilo halitoshi kutamatisha uhujumu uliofanyika. Paper trail...
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN
Mr Jeetu Patel, one of the alleged key players in the Central Bank's External Payments Arrears (EPA) account scandal that cost the country Sh133 billion, is back in...
Na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SERIKALI itaweka hadharani kiwango cha fedha kilichorudishwa na kampuni zilizochota fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Akaunti ya...
Sasa sijui wangapi mliwahi kusikia juu ya maadili ya matangazo ya biashara kwenye vyombo vya habari nchini. Lakini kwa muda sasa kumekuwa na mashauriano ya wadau wa eneo hili nyeti na sasa...
WanaJF,
Tuonyeshe ukomavu kidogo, mbona kila kitu kinacholetwa kwenye Jamvi kinaonekana kama breaking news!!! Wajameni... msiharibu kijiwe wandugu!!! chonde chonde, vihabari vingine pia vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.