Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mbunge aswekwa ndani Waandishi Wetu Daily News; Tuesday,February 26, 2008 @20:01 MBUNGE wa Magu Mjini ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Festus Limbu, jana alishikiliwa kwa saa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Posted Date::2/28/2008 IMF yataka mafisadi wabanwe *Yasema walioiba BoT washughulikiwe haraka * Yaibua machungu ya umeme kwa Watanzania * Wahoji athari za gharama za umeme nchini *...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa, Ni siku mpya, siku ya furaha. Hakuna haja ya kuwa na majonzi wala kulaumiana kwa yalioshindwa kufanyika kuzuia sekeseke. Tumejifunza kutokana na makosa. Naamini umoja na mshikamano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele. Admin sijui hii utaiweka wapi,lakini ninapata maswali mengi kuzidi majibu kutokana na report ya kamati teule ya bunge ambayo pamoja na hoja na mapendekezo yake yaliyojiri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni ushindi kwa wana JF wote na wote wapendao nchi ya tanzania HABARI-WABUNGE WAMGOMEA FISADI KARAMAGI ---Wakataa miswada mipya kujadiliwa,mpaka ripoti ya RICHMOND ----Wasema ""tumechoka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Leo MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Emanuel Ole Naiko, ameituhumu Kamati Teule ya Bunge kwa kumhusisha na kashfa ya Richmond huku akisema anaamini ilifanya hivyo kwa nia ya...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Nimeipata sasa hivi wakati nikijiandaa kwenda kupata kabisa kangu pale Gidamez Pub, nje kidogo ya mji wa Lusaka kwamba yupo Mtanzania amepatikana na hatia na atafungwa maisha huko Uingereza. Eti...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Am sure Moringe angelikuwepo hawa watu angeliwatia bakora wote. Mtu fisadi wa kutupwa badala ata wamshauri arudi home kimya kimya wakamwandalia na sherehe ya kumpongeza. Does that mean...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Oh come on Mr Ole Naiko Adam Lusekelo Daily News; Tuesday,February 26, 2008 @20:02 THE Tanzanian Investment Centre (TIC) supremo, Emmanuel Ole Naiko, has been having nightmares. He has...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kina Ndiyo Mzee wengi serikalini - Rutabanzibwa Mwandishi Wetu Februari 27, 2008 Raia Mwema KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji, ambaye pia aliwahi kuwa Katibu wa Wizara ya Nishati na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkapa asilipwe mafao - Kiula 2008-02-27 08:54:20 Na Joseph Mwendapole Waziri wa zamani wa Ujenzi wa Serikali ya Awamu ya Pili, Bw. Nalaila Kiula, ameishauri serikali kusitisha mafao na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanaJF nimepatwa na kizunguzungu cha kufa mtu,baada ya kuona watanzania wenye akili timamu wanampokea mtuhumiwa wa ufisadi Lowassa wakiwa na fulana zenye maandishi "karibu lowassa,shujaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapambanaji ndani ya JF Nimeamua kuwashirikisha katika taarifa ya tathmini ya rushwa iliyotolewa na Chama Cha mapinduzi mwaka 2005 ili tushiriki kuona kama ufisadi umepungua au umeongezeka kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CCM Pambalama, CCM Pambalama, kocheleli CCM eee, kocheleli CCM Pambalama Kochelele... Fukuto la fukuta, moshi wafoka, mapovu yanamwagika, CCM imefika njia panda! Ama isuke au inyoe! Hili...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Nakaa na kufikiri sana kama hotuba ya JK mwezi huu itaweza kujibu maswali yetu yote muhimu ambayo yanahitaji majibu ya haraka. Tungependa kujua tume ya BOT imefikia wapi? Vipi kuhusu Attoney...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuazia sasa, wale wezi wa fedha zetu pale Benki Kuu ya Tanzania wamezuiwa kusafiri na karibu wote hadi mchana walikuwa wamesalimisha pasipoti zao kwa jamaa wa usalama wa taifa. Ninasema wote...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Kumekuwa na kesi mbili za mauaji zilizowahusisha watendaji wakubwa serikalini. Ya kwanza ni kesi ya Zombe aliyetoa amri ya kuuwawa vijana wenzetu kwa risasi na askari polisi,kesi hii ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Kikwete amwagiwa sifa toka Cameroon Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari RAIS Jakaya Kikwete amemwagiwa sifa na kutajwa kuwa miongoni mwa viongozi wa daraja la kwanza duniani, ambaye ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Miaka 47 ya uhuru wa Tanzania ni dhahiri kuwa rasilimali za nchi hazitumiwi/hazitumiki na kama zinatumiwa na kutumika zinawanufaisha wachache sana. Rasilimali zilizomo Tanzania zilizoanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
....to return in the WH, as he did in 2000 elections? Nader enters presidential raceEwen MacAskill in Washington Ralph Nader at the NBC television studios in Washington. Photograph: Alex...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom