Usanii mwingine huu! Eti wanataka kuilazimisha Tanesco iombe leseni kwa kufanya hivyo waruhusu makampuni yao ya kifisadi nayo yazalishe, kusambaza na kuuza umeme. Hawa hawa mafisadi na sera zao za...
Na Tausi Ally
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi la upande wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini...
Jana nimeona M7 akishuka kwenye ndege ya rais wa TZ?? na akapokewa na Kibaki kwa furaha sana,hii ilinifanya kutafakari hapo nyuma M7 alipokuwa kiongozi wa kwanza kumtambua Kibaki bila woga wowote...
Hongereni kwa jitihada waja JF
Nimetaka kuleta hii mada ya kauli potofu za viongozi waandamizi na jinsi walivyoudanganya Umma na hatimaye kuumbuliwa na ukweli.
Ningeomba tuweke kauli...
Badala ya kuomba msaada watutengenezee Barabara sie tumeona bora tujengewe uwanja wa Taifa
Hii ndiyo hali halisi ya barabara kuu ya KIGOMA,leo ni siku ya tatu kukiwa hakuna kutoka kuelekea...
Hivi karibuni kumekuwa na ufunuo (usio kamili) wa ufisadi uliondelea huko Benki Kuu. Katika ufunuo huo, wananchi tulielezwa kuwa Rais amekasirishwa na ufisadi huu na akaamua mambo kadhaa, ikiwemo...
Stock Markets Plunge Worldwide
By TOBY ANDERSON 8 hours ago
LONDON (AP) Stocks fell sharply worldwide Monday following declines on Wall Street last week amid investor pessimism over the...
What are you waiting for? When will you be ready to say anything? :confused: two years, three years or 10 years? These inefficient officials they don't deserve to be in those important positions...
Msanii Mapunda aitosa CCM
na Agnes Mlundachuma
MSANII wa muziki wa Kiafrika, Fullgency Mapunda 'Mwana Cotide' ameamua kujitoa katika bendi ya Tanzania One Theatre inayomilikiwa...
Kuna habari kwamba wananchi wa Mbweni wamevamia mashamba ya Ballali na kugawana. Polisi wameenda kuwatimua.
Hii kali kweli, wananchi wanachukua kilicho chao.
Wenye habari zaidi tujulisheni.
Ndugu Zangu wana JF siku zote nimekuwa ni msikilizaji tu wa mambo humu ndani zaidi ya kuchangia threats zinazowekwa na wanamapambano wenzangu.
Labda nianze kwa kusema kuwa wengi wenu mnaifahamu...
Source ITV News,
Wananchi waishio eneo la Mbweni wamevamia mashamba ya Dr.Balali na kuanza kugawana kwa madai kuwa yanatokana na pesa za ufisadi pesa ambazo wameziita kuwa ni mali yao...
Nakuuliza mheshimiwa JK....JF members na wa-TZ wenzangu wote HAKUNA MZANZIBARI MWENYE SIFA YA KUCHAGULIWA KUWA GAVANA WA BoT???? haaaaaa ametoka,dr idrissa rashid(mtanganyika) amekuja...
2008-01-17 09:43:23
By Correspondent Felister Peter
President Jakaya Kikwete has called upon donors to continue providing assistance to Tanzania, saying that the billions of shillings...
Nimewaza sana na kujiuliza nini Tofauti ya Mtanzani na Mhindi(Mtanzania mwenye asili ya India).Inaonekana Serikali na makampuni mengi ya yamekuwa yakipiga deal na wahindi kuibia fedha na mali za...
Mawaziri wahojiwa
Mwandishi Wetu Januari, 16, 2008
Raia Mwema
HALI si shwari ndani na nje ya Serikali kuhusiana na matukio ya Benku Kuu (BoT) na sasa imebainika kwamba baadhi ya...
2008-01-16 09:15:23
By Guardian Reporter
The Minister of Finance, Zakia Meghji, has appointed an eleven-member board of directors for the Bank of Tanzania (BoT).
In her appointment made...
Maneno ya J.Ulimwengu
-----------------------------------------------------------------
UKWELI wa vyama vyetu kuwa bandia umedhihirishwa na matendo ya wanasiasa wetu wenyewe. Ukitazama mwenendo...
Kikwete ampa John Cheyo milioni 120/-
Hivi kuna ndoa gani kati ya John Cheyo na serikali ya CCM?
Na Gladness Mboma
SERIKALI imetoa sh. milioni 126 kama mchango wake kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.