kazi imewashinda wamekalia kuboronga tu!? Haya mamilioni kama sio mabilioni yaliyotumiwa na tume hiyo yangeweza kuelekezwa kwingine ambako yangeleta manufaa makubwa. Usanii kama kazi!
Posted...
Godfrey Stalin Mwafongo: From State House to the Dog House
2008-01-06 10:04:54
By Pendo Fundisha, PST, Mbeya
It may sound fictitious but this is a true story. It is about a man who served...
Wananchi wamkataa Waziri Karamagi
* Wasema hajatekeleza ahadi zake kwao
Na Stella Ibengwe, Geita
WANANCHI wa wilaya ya Geita mkoani Mwanza, wamemkataa Waziri wa Nishati na Madini...
Kwa kweli nimesikitishwa na rais Kikwete kumteua Prof benno Ndullu kuwa gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania baada ya kumfukuza kazi Bwana Balali aliyekuwa Gavana. Hii ni kutokana na ripoti ya...
Hali ya usafiri wa Treni ambao ndiyo usafiri pekee wa uhakika kwenda mikoa mingine ni mbaya mno na inazidi kuwa mbaya siku hadi siku. Wasafiri wanasafiri bila taa kitu ambacho ni hatari kwa...
HUKU Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likiwa linakabiliwa na hali mbaya ya kifedha, imebainika kuwa kuna mpango mahususi wa kuliangamiza shirika hilo unaofanywa na baadhi ya watendaji...
Nini kimelisibu gazeti la RAIA MWEMA leo maana haliko mtandaoni hadi muda huu!Au nao wamemwagiwa tindikali,maana yaelekea mafisadi wamepania kweli kuzdhibiti yeyote anayewanyooshea kidole.Je huko...
Moderator, Baadaye unaweza kuitafutia hii mahala pake; nimeshindwa kujua niiweke wapi.
Hebu angalieni jamaa huyu Jacob Zuma ambaye baadaye anaweza kuwa rais wa taifa lenye nguvu kuliko yote...
Posted Date::1/6/2008
CCM wapinga pongezi za Museveni kwa Kibaki
Na Boniface Meena
Mwananchi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kauli ya Rais Yoweri Museveni ya kumpongeza Rais Mwai...
Did you know that mine operators in Tanzania pay black Tanzanians less than they pay anybody else? Within our mines, a white employee with the same qualifications and experience as some black...
Mapema leo Katibu Mwenezi wa CCM Bw. John Chiligati amezungumzia kuhusu hali ya kisiasa ya Kenya na msimamo wa CCM. Pia Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Bw. Membe naye amezungumzia sakata hilo...
Wale waliofuatilia pale JK alipoongea na wahariri wakuu na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mtakubaliana na mimi kuwa JK hajawa serious katika kushughulikia kero...
Mwalimu mkuu atimuliwa kazi kwa kusaini mkataba feki
2008-01-05 10:15:24
Na Francisca Jeremiah
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Abasi Kandoro, amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya...
No reprieve on new tariffs - TANESCO
-Says hiked rates in force from January 1
-Zanzibar only given option to appeal
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
THE Tanzania Electric Supply...
Dar decries monopoly of petroleum storage facilities
By JOSEPH MWAMUNYANGE
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
An inquiry conducted by the Energy and Water Utilities Authority...
Hapa bado hatujaingia easter
KIKWETE ANAPONZWA NA WASAIDIZI WAKE
Na Happiness Katabazi
MWANASESERE ni sanamu inayotumiwa na watoto kwa kuchezea. Kwa mtoto mwanasesere anawakilisha kitu halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.