Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wana bodi! Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili. Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama...
11 Reactions
132 Replies
4K Views
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23. Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa...
14 Reactions
99 Replies
3K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
6 Reactions
130 Replies
4K Views
Kesho moja ya agenda,kimsingi agenda kubwa ambayo masikio ya wengi yanasubiri kuona maridhiano ya mgogolo wa huko DRC unafikiwa muafaka.Tuendelee kuwaombea afya njema wahusika wote wakuu ikiwa ni...
0 Reactions
26 Replies
492 Views
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election. Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu. Hotelini ni...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa...
1 Reactions
12 Replies
315 Views
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya...
3 Reactions
28 Replies
971 Views
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini...
15 Reactions
61 Replies
2K Views
Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama. Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda...
0 Reactions
4 Replies
261 Views
Baada ya kimya cha muda kidogo Sugu ameingia mtaani kupiga kampeni ya kimya kimya huko vijijini ===================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa...
2 Reactions
12 Replies
679 Views
Kutoka account ya X ya Hilda Newton: Nimepokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Wakili Advocate Mahinyula Anasema kwamba leo Mohamed Issa amefikishwa Mahakama ya Uhujumu...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa...
4 Reactions
18 Replies
513 Views
Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya...
1 Reactions
11 Replies
663 Views
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Eng. Vedastus Maribe, amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kusaidia kushinikiza...
1 Reactions
8 Replies
355 Views
Yaani ulisikiliza Maria space ndiyo utajua kuna watanzania wengi tu wenye akili na hoja. Watanzania wanajadili mambo ya msingi kuliko bunge ambalo ni bunge la uchawa na kusifia tu. Hakuna mjadala...
11 Reactions
31 Replies
913 Views
Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania! Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma. Labda tuwaulize tu wale Team...
16 Reactions
59 Replies
2K Views
Watanzania wote tunaamimi wewe ni mtu sahihi kupeperusha bendera ya Chadema kama mgombea urais 2025. Wakati ni sasa tangaza nia mapema na sisi tunaotakia mema taifa hili tutakuunga mkono...
5 Reactions
38 Replies
923 Views
MISAADA YA MAREKANI NA UHURU WETU KAMA TAIFA. Marekani kupitia MCC imeridhia kuinyima Tanzania fedha za msaada zaidi tirioni na pia nchi yetu imetolewa kabisa kwenye orodha ya nchi ambazo...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom