Wakuu,
Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh...
Dar es Salaam leo inakuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC). Lengo kuu ni kujadili na kutafuta suluhu...
03 February 2025
Dar es Salaam, Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC
Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa...
Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024.
Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye...
Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu
Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa...
Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso.
Rais Ruto amewasili...
Barabara ya Tanzania kwenda Damascus ni makala mafupi (tafadhali tazama attachment) yanayozungumzia Katiba tuliyo kuwa nayo wakati wa uhuru hadi hapo ilipobadilishwa.
Jioni njema,
Ludovick
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe.
Chaula anadaiwa kutekwa na...
Utangulizi
Katika kipindi hiki, kuna masuala kadhaa yanayoonekana kuathiri juhudi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kusimamia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano inayojengwa...
Kwa wana JF,
Natambua kuwa kuna threads 2 humu; ila taarifa ni kuwa Akram Aziz ambaye ni mdogo wa Mbunge wa zamani wa Igunga, Ndg. Rostam Aziz, ni kweli alikamatwa na Vyombo vya Dola na mchana...
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
Wakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo...
Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii.
Kupitia jinai hii...
Wasalaam.
Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna...
Wakuu baada ya kujitafakari kwa kina kwa kipindi kirefu Mimi Wakusoma 12 kwa kushawishiwa na vipaumbele vya awamu ya SITA na kwa namna maendeleo hasa kwenye sekta za elemu na afya nimeamua...
Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi...
Wana JF Heshima kwenu.
Za kutoka jikoni kwa walio Karibu na "Mjomba" wanaeleza wazi kuwa bwana Mkubwa baada ya kuona upepo namna unavyokwenda, aneonesha nia ya kutogombea Tena Jimbo la Ruangwa...
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.
Wabunge wa namna hii, wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.