Habari wananchama na wasio wanachama.
Nimeamua kuleta huu uzi kama haupo unaofanana nao tuweze kujadili
1. Kodi/tozo/ushuru kandamizi ziweze kuondolewa
2. Maoni juu ya namna ya kupata vyanzo...
1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani).
2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada...
Kwa Hali ilivyo hivi sasa inaonekana CCM umeshindwa katika kila sehemu na CHADEMA na kasi ya CHADEMA kukubarika kwa wananchi matokeo Yake inatumia nguvu za dola na Majungu kwa kuzuia mikutano. na...
Kitendo cha kuendelea kushikiria Katibu wao (TEC)wa zamani dk slaa kinyume na sheria kwa kesi ambayo ina dhamana ni kitendo cha ni kinyanyasaji kwanini wapo kimya..
Yalianza kama masikhara ila sasa tuvumilie kuvuna matunda yake.
Kuanguka kwa Tanzania ni suala lililochukua muda kidogo. Tuliopata nafasi ya kuonya, tulionya ili kulikomboa Taifa ila hakuna...
Juzi jioni akiwa Tabora katika matukio muhimu kitaifa,rais alitoa tamko la kihistoria la kuwapa uraia wakimbizi 162000.
RAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,156 MJINI TABORA LEO...
Tumekua tukishuhudia kila linapotokea jambo au janga uhudwaji wa tume ili kuchungunza tukio au janga,wakati mwingine hizi tume zinaundwa kuchunguza kitu ambacho kinaonekakana bayana na tume nyingi...
Wakuu,
1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro...
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na...
Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba...
Mishahara ya wabunge,mawaziri na majaji imepandisha huku wa spika wa bunge ukipanda mara dufu.
Kwa kifupi tu;
Spika na Jaji mkuu Tshs 2,760,000/= mpaka 4,850,000/=
Naibu spika Tshs 2,080,000/=...
Kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Kongo kimefanyika leo jijini Dar es salaam. Si nia ya uzi huu kujadili maamuzi ya kikao hicho, bali kuangalia faida zitokanazo na kikao hicho. Kama nchi lazima...
Wanabodi,
Tuweke ushabiki pembeni, kati ya watangaza nia watatu kati ya jana na leo, Mwigulu Lameck Nchemba ndiye mgombea who is the most bonafide genuine so far, ukimuangalia huku unamsikiliza...
Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani...
Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati.
Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA NISHATI, MHESHIMIWA JOHN JOHN MNYIKA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA BAJETI...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama...
Mtangazaji maarufu nchini, Maulid Baraka Kitenge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama ikimpendeza kuwaondoa haraka kwenye Baraza la Mawaziri mawaziri waliotajwa kwenda nje ya nchi kusaka fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.