Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema chama hicho kimedhamiria kuleta mapinduzi katika maisha ya wananchi huku akitumia vijembe kwa Chadema kuwa katika uchaguzi wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi...
Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano.
Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma.
Katika mkutano huo...
Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara.
Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).
Kabla ya uteuzi Said alikuwa...
Tunakumbushana historia tu kwa sababu Waziri Hamza wa SMZ alisema Watanganyika ni Wavivu wa kujisomea historia
Umri wa USAID Ndio Umri wa Tanganyika Sasa Tanzania
Ahsanteni sana 😄
Kumekuwa na mahitaji makubwa ya vituo vya gesi kutokana na wingi wa watumiaji kwa sasa.
Nadhani ingekuwa busara sana kwa Ewura kusitisha utoaji leseni za vituo vya mafuta (petroli na diesel) na...
Leo nilipata wasaha wa kupitia a
hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP...
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo...
Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya...
CHADEMA imetoa mapendekezo matatu kwa serikali kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani,Donald Trump kusitisha misaada kwa sekta ya afya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Maendeleo ya Jamii ya Bunge la...
Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo
Baada...
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mzee Kikwete amewataka wanaccm wote na Wananchi wenye mapenzi mema Siku ya uchaguzi wasiache kwenda vituoni kuipigia Kura CCM
Mzee Kikwete amesema kwenye Siasa hakunaga...
Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Dr. Wilbroad Peter Slaa bado yupo mahabusu mpaka sasa kutokana na Mawakili wake wanaoongozwa na Peter Madeleka kukosa weledi na kufanya harakati kwenye mambo ya kitaalam
Mzee Slaa ataendelea...
Kwa miaka 30 Chadema hawajawahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye Majimbo yote ya Tanzania
Na huu Ndio Mtihani mkubwa sana Kwa mh Tundu Lisu kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu
Ahsanteni sana 😄
Wakuu,
Wabunge wa Dar es Salaam: Elimu, Safari za Kisiasa, na Majukumu
1. Jerry Slaa - Mbunge wa Ukonga
Chama: CCM
Uchaguzi wa 2020: Kura 120,936 dhidi ya Asia Daudi Msangi (CHADEMA) aliyepata...
Nchi yetu ya TANZANIA, watanzania, na serikali kupitia wizara ya afya, tumejipanga vipi ama tuna mipango ipi na gepu lililopo ama litarajiwalo kutokea la kukosa ama kutopokea tena misaada kutoka...
Mkakati wa kuhakikisha Afrika inakuwa tegemezi ni halisi kutokana na mipango mahususi iliyoandaliwa kwa muda mrefu na waliofukuzwa kama wanyonyaji au wakoloni. Kauli iliyotolewa na Rais Donald...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.