Wakati upelelezi mwingine unaendelea juu ya Sakata la kutekwa na kuteswa kwa Kibanda, ikiwemo kuhojiwa kwa Maggid Mjengwa, tujikumbushe kuwa Kibanda ana kesi. Tena kesi ya uchochezi inayolihusu...
Kikwete visits TEF chairman in South Africa
President Jakaya Kikwete has visited in hospital the chairman of Tanzania Editors' Forum (TEF) and Managing Editor of New Habari (2006) Corporation...
Mwanahabari Absalom Kibanda
TAARIFA ZA AWALI
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania...
ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response...
Njia bora ya kuondoa ombe na uongozi nchini hasa kwa Viongozi wa CCM ni kuhakikisha katiba Bora inapatika.
Uchaguzi ambao ni huru na haki (transparent election) (free and fare)unafanyika na...
Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena
Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge...
WANABODI,
Usalama wa viongozi wa chama kikuu cha upinzani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upo hatarini.Akiwa njia ni kutokea Iringa, Dr. Slaa amefuatiliwa na Gari aina ya Landcruiser...
Akichangia ktk topic iliowekwa ktk mtandao wa X na mwanaharakati na rafiki wa karibu wa Tundu Lissu bibi Maria Sarungi, Rais wa TLS ameandika kwamba kuna watu wamesambaa ktk mitandao ya kijamii...
Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum.
Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum...
Barangumu limelia..
Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa"
Burkinafaso...
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni...
Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho.
Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100%
Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la...
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana CCM iliyotuletea, isipokuwa bla bla nyingi miaka nenda miaka rudi na kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano...
Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema.
Mnamo Tarehe 21 January 2025 kulifanyika uchaguzi Mkuu katika Chama Hicho. Uchaguzi huo ulijaa kashi...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya maafisa wa Jeshi la Polisi kuhusishwa na vifo vya vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kucheuka (22) waliokuwa...
Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.