Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Me nahisi zitakazopeta ni hizi. 1.Lake zone 2.Southern Highlands 3.Nothern Highlands 4.Coast Zitakazokufa njaa 1.Central zone 2.Southern zone 3.West zone 4.Zanzibar
5 Reactions
19 Replies
587 Views
Wananchi mkoa wa Ruvuma wametakiwa kupuuza maneno ya baadhi ya wanasiasa wanaotumia majina ya viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi, kuwarubuni na kuwaambia kuwa wametumwa kuja kugombea nafasi za...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Hivi mheshimiwa Lissu chama anakiendesha vipi? Katibu mwenezi mwenyewe? Mbona mambo yanaaza kuharibika mapema mno? Kama ndani ya chama yupo mwaka 20 kama kiongozi wa juu, inafika mwezi anashindwa...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Akijibu hoja ya ukomo bungeni, Christian Bwaya ameandika: "Wabunge wengi wana mipango ya muda mrefu kaka. Tuwaelewe.Miaka mitano ya mwanzo —kulipa madeni makubwa ya uchaguzi. Miaka mitano ya pili...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Nakumbuka zama zile za miaka ya 1983 hadi 1984, niko tunaishi mitaa ya Makutano Mabibo jijini Dar es salaam na Kadi yangu ya Rangi ya Kijani ikiwa na maelezo ya Kaya yetu ndani Mwake. Mchana wa...
121 Reactions
406 Replies
28K Views
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura. Soma Pia: Kusini...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
CHADEMA ni chama kinachoimarika siku hata siku pamoja na madhila yote wanayofanyiwa na CCM. Kama CHADEMA ingekuwa dhaifu leo hii ingekuwa ni historia kwenye siasa za Tanzania. Lakini bado...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Natanguliza pongezi za dhati kwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Tundu Lissu kwa kuaminiwa na kukabidhiwa Kijiti kuongoza chama kutoka kwa Freeman Mbowe. Lissu anafahamika kwa harakati zake za kitambo...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi Ijumaa Februari 07, 2025 amesimama Bungeni kuiulizia Serikali kuhusu ukamilishaji wa Skimu ya Nyendara. Naibu Waziri wa Kilimo...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Lissu kulingana na ujasiri aliobarikiwa na Mungu pamoja na uzoefu wake mkubwa wa kushughulika na migogoro mbalimbali nchini ikiwemo wa Kuwaondoa Wamasai wa ngorongoro katika eneo lao la asili...
0 Reactions
5 Replies
215 Views
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na...
3 Reactions
24 Replies
574 Views
https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo...
20 Reactions
111 Replies
4K Views
Katika taswira ya kisanii iliyoibua hisia kali mitandaoni, chama cha CHADEMA kimeonyeshwa kama meli kubwa iliyokwama jangwani, ikiwa imebeba mizigo mizito inayotajwa kuwa ajenda za ushoga na...
-1 Reactions
3 Replies
259 Views
"Nasemaje tupige siasa tuzodowane ila kwenye akili. Kumbuka ulinzi ni mkali, haijapata kutokea. Sio mipakani, sio kwenye mitaa, sio kwenye taasisi. Bwana weee, usijichanganye, utakutana na bibi na...
3 Reactions
13 Replies
655 Views
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie...
3 Reactions
35 Replies
474 Views
Serikali imendelea kuweka taa za barabarani katika maingilio ya majiji na miji nchini ili kuimarisha usalama. Serikali imeweka jumla ya taa 4,880 za barabarani kwenye barabara zenye urefu wa...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana...
2 Reactions
9 Replies
369 Views
Kabla ya ushindi wa Tundu Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema akimbwaga Freeman Mbowe, mchungaji Peter Msigwa alikuwa na kasi ya kutisha kwenye kuishambulia Chadema. Alikuwa...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Kuna watumishi wazalendo🙏 https://youtu.be/OaJUpqRmdUI?si=k4rHM3xLXXEWmI3I
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Back
Top Bottom