Namshukuru Mungu kwa kuniunganisha na familia hii kubwa, nawashukuru sana wanafamilia wa mtandao huu na zaidi sana waasisi wake.
Hivi majuzi nimepokea zawadi kutoka Marekani kupitia kwa aliyekuwa...
Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango...
Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa...
Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho...
Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye...
Nchi hii ni ya watu wa ajabu kweli kweli. Sisi viongozi tunaona fahari kusifiwa. Ni hatari sana kupenda kusifiwa. Hapo ndipo watu wanapoiba mabilioni mengi ili kukwepa mkono wa sheria wanalala...
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/=...
Niko Bukene kwa ziara ya siku tano hivi.
Matatizo ya wana Bukene juu ya bei mbaaya ya zao la tumbaku linafanana sana na wakulima wa Pamba huko usukumani Mwanza,Simiyu, Shinyanga, Geita na...
Radio Free Africa leo kwenye habari kwa ufupi saa nane mchana imeaarifu kuwa Watuhumiwa hao wame achiwa huru na mahakama baada mwendesha mashtaka kusema hana nia kuendelea na kesi.
Ikumbukwe...
Tumejifunza na kuishi kwenye Maisha ya Historia kwamba Wakoloni Hawakutaka Kupeleka maendeleo kwenye Miji ya maeneo mengine ya Nchi na badala yake wakijenga Jiji Moja tuu kama economic hub ya...
Lissu alitegemea Sana support ya nchi za Magharibi kwa kifedha, na watu wa kumpigia Kelele
Alitegemea kuwa Maria Sarungi angetembeza bakuli na kumchangia yeye kupata pesa za kuendesha chama...
Heshima wanajamvi.
Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.
Taarifa...
Mr President,
Ningekuwa na muda ningekueleza mengi sana. Muda wangu ni kidogo sana ndiyo maana nashindwa hata kupost mambo mengi kuhusu taifa hili hapa JF. Ninatuma post hii si kwa lengo la...
Watu mnaojua kiingereza mnaweza kunisahihisha kama neno nililolitumia siyo sahihi. Kiranga na Nyani Ngabu msaada tutani.
Kwa mtazamo wa kijuujuu huwezi kuona kinachotengenezwa na CCM hasa...
Mwenyekiti wa CCM kata ya Itiryo Peter Magau Mohere anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia jumapili Januari 9,2025 ikiwa ni siku moja baada ya makamu mwenyekiti CCM Taifa kuondoka Tarime.
Bado taarifa...
MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA.
Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni.
20 August 2023...
Mbowe alifanya maridhiano, ruzuku inapatikana na chama kikaendelea kujitangaza. Lakini Lissu na watu wake wanamuita msaliti na mnafiki.
Leo humu Jamiiforums kunapita thread ya kumpongeza Lissu...
Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax
===============
Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.