Pamoja na kuvurunda na kuendesha uwekezaji kienyeji na kutokuwa na mpango unaoeleweka vizuri wa PPPP, siasa unazofanya kumpamba mama zitakufanya upate cheo kikubwa baada ya uchaguzi wa mwezi...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo, amesema mabadiliko katika nchi hii yataletwa na chadema na kuongezea kuwa Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa mgawanyiko ndani ya CHADEMA unazidi kudhoofisha nafasi ya chama hicho kushindana na CCM katika uchaguzi...
Wakuu,
Majuzi kuna mdau aliweka uzi kuhusu mitungi ya gesi kugaiwa kwa masharti ya kutoa namba ya nida - Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti...
Matunda ya ziara ya Rais Samia Nchini Indonesia na Yale ya Rais wa Indonesia hapa Tanzania yamezaa matunda Kwa Wana Mtwara.
Ambapo kampuni ya kutoka Indonesia ya Essa Group of Industries imesaini...
Wakuu,
Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la asilimia 18.18 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 81.9 katika kipindi...
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na...
Hellow Tanganyika!!
Nimekaa Mahali USINGIZI umekata, wazo likanijia kumhusu Mh Ndugai pale alipoitisha press kuishauri Serikali kuhusu kujitegemea kuachana na mikopo kiduchu.
Na kilichonivutia...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu...
1. Historia ya Hali ya Mashariki ya DRC
2. Chanzo ni kipi cha kutoweka kwa Amani
3. Tanzania inaathirika vipi na hali hiyo?
4. Je, ni akina nani wahusika wakuu wa hali inayoendelea...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika...
Ndoto kubwakubwa za wanasiasa na wanataaluma vijana zimeuawa na vihela vidogo vidogo visivyojaa hata bahasha ndogo.
Kwa wanasiasa vijana wameamua kutumikishwa na wakongwe wa siasa na kazi yao...
Wakuu,
Asubuhi ya Jumamosi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliweka pandiko kwenye account yake ya Insta iliweka lebo kwenye gazeti la Nipashe "SIO KWELI (MISINFORMATION)" na kuongeza maelezo...
Wakuu,
Ifikie muda tuache ku-judge wanasiasa kwa kutujengea vyoo na mabarabara.
Unakuta mwanasiasa anaenda kukopa World Bank na IMF alafu anaenda kujenga shule na zahanati
Kibaya zaidi...
Rais Samia Suluhu ameaminika na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwa mwenyeji wa kikao cha usuluhishi kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni...
..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious.
..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani.
..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba...
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.