Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi...
Wakuu,
Kwenye events hizi mbili za mwisho za CCM kuna kitu nimejifunza.
Unakuta msanii anaenda ku-perform huko CCM alafu anavaa manguo ya CCM then akienda kwenye vyombo vya habari akiulizwa yeye...
Hawa wazee wanaong'ang'ania madarakani wanaumwa hata kama hawataki kusema. Outtarra anaonekana kupigwa stoke ya uso huku Museveni akionyesha mkono wake wa kulia ulivyokwisha kufanya kazi japo...
BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha...
85% kwa Zanzibar
97% kwa upande wa Tanzania
Hii ni kutokana na sababu
1. Upinzani Zanzibar umekufa. ACT wazalendo tangu aondoke maalim imekufa nguvu .
2. Dr Mwinyi ameijenga sana Zanzibar...
Tuwe tu Wakweli ni mwanaccm gani Chama Cha Mapinduzi kimemuandaa kuwa Rais wa JMT kama alivyoandaliwa Dr Samia wakati wa shujaa Magufuli au atakavyoandaliwa Dr Emmanuel Nchimbi kuelekea uchaguzi...
Sitaki kutoa utabiri.
Lakini nataka nitoe maoni
Naona uwezekano kwamba hali inaweza kuwa kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.
Na kwamba CCM inaweza kupata ushindi mkubwa wa kufanya Rais Samia...
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.
Mkutano...
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa...
Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime.
Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM.
Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa.
Soma Pia: Uzi...
Angalikuwa mwenyekiti Mbowe Muda kama huu tungalikuwa tunaona bony yai akiichangamsha maada zakd za utekaji ktk X.
Hata mdude angalikuwa yupo active muda huu, lkn hivi sasa mada zake zinamtetea...
Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini...
BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
KILICHOMPONZA MAKONDA NDICHO KINGEMPONZA MAGUFULI.
Na, Robert Heriel
Licha ya kuwa watu hawa kwa sehemu kubwa nawakubali na kuwapigia chapuo, lakini kamwe sitoacha kusema ukweli kuwa...
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi...
10 February 2025
Arusha, Tanzania
EALA yasitisha shughuli kwa sababu ya shida ya pesa
Na Wycliffe Nyamasege
Tarehe 9 Februari 2025 saa 03:31
Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Bajeti ya Bunge pamoja na wabunge mbalimbali wamezungumzia maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, yanayotekelezwa na...
Wameandika "Kada aliyempinga Rais Samia aliwa kichwa"
Ktk uandishi wa habari, heading hio ina maana ya kwamba: Kaliwa kichwa maaana kakatwa kichwa na kutenganisha na kiwili wili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.