Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko
Amesisitiza CCM...
Wakuu
Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa?
Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho?
Tena aelewe, si kila...
Wakuu Mbingu zimeitika, niwasalimu kila mmoja kwa imani yake, hivyo hivyo neema ya Mungu ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake Popote ulipo.
Rejea mada tajwa hapo juu ,
Leo namtaka msajili...
Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama...
Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30 na hatimaye kufikia tamati.
Hayo yalijiri Februari 8,2025...
Wakuu,
Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila.
====================================
Mkuu wa Dar Es Salaam...
Wakuu,
Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Deo Ndejembi ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera kuwasilisha ofisini kwake nyaraka inayoonesha ni wapi makaburi...
Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya Serikali ilikumbwa na changamoto mwaka jana na mwaka huu, hasa kutokana na uharibifu wa barabara chini ya Tarura na Tanroads pamoja na...
Huyu ni rafiki wa wajasiriamali, rafiki wa Wafanyabiashara na wao wanajua ndiye mtu wa kukimbiliwa.
Huyu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Pakua Samia App...
Kwanza sipingani na watu wanaosema CCM iondoke waingie wengine.
Ninachojaribu kutafakari ni kuwa ni kuwa hivi ni kweli sasa ya kubadilisha vyama ndio njia pekee ya maendeleo?
Naona zipo nchi za...
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi (Sugu), amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Balaza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo kusimamia suala la umoja na kuunganisha wanawake wote katika...
Wakuu,
Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Kuna watu huzaliwa tu kuwa hivo, Hawa hata kama hawana Elimu ila Wana ushawishi mkubwa na wanakubalika kuanzia mwonekano, uongeaji, Matendo, ana vitu ambavyo kizazi cha sasa kinahitaji...
Moja ya Sifa kuu ya Uchumi wa nchi ni kutengeneza Ajira kwa Watu wake
Je, Uchumi wa Tanzania unatengeneza Ajira za kutosha ukiondoa zile za sekta ya umma?
Je, sekta binafsi ikiongozwa na Mwajiri...
Angalia maajab ya viongozi wetu. Una Rais analipa kila goli 5M wakati tuna watoto wa taifa hili wako ndani ya kitu kama hiki eti ni darasa!
Tukiandika wanasema sisi wachochezi... hapana, hakuna...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemjulia hali Mjumbe wa Halmashauri Kuu yaTaifa (NEC), Ndugu Christopher Gachuma ambaye amelazwa katika Hospitali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.