MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira Akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza , Katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Ukumbi wa CCM...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira, akipunga Usinga mara baada ya kusimikwa na kupewa jina la ''NTAMBULWA'' lenye maana ya Kiongozi Mkuu wa wazee ambapo...
WASIRA: UCHAGUZI MKUU UTAFANYIKA, WANA-CCM, WANANCHI JIANDAENI.
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa kwa taratibu...
Wakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya...
Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kuacha kutumia majukwaa kutoa kauli...
Milioni 700 kwa wachezaji wakati kuna shule nyingi za hivi. Hii si swa! Hata Mtume wetu (SAW) haimpendezi!
Soma => Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
Shule hii iko Mtwara...
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena...
Wakuu,
Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye...
ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa...
Kuna jambo ambalo ni mhimu na turufu kubwa sana katika nyanja ya kiuchumi, ni pamoja na kuwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa, Arusha ilishajiweka vizuri sana kwenye eneo hili, Arusha inaongoza...
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni...
Katibu mkuu wa chama cha wananchi-cuf madam Husna Mohamed Abdallah leo jumanne tarehe 11 February 2025 alifanya ziara chama cha wanasheria wanawake Ilala Dar-es-salaam,katika ziara hiyo mbali na...
Hapakuwa na kitisho cha usalama kwa mTanzania yeyote wakati wa uchaguzi wa CHADEMA Taifa, bali ilikuwa ni drama ya kutafuta kiki, huruma kwa jamii na na baadhi ya viongozi wagombea kujaribu...
Wakuu,
Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia.
Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako.
Wasiende tu kurudia yale mambo...
Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV.
CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana...
Wakuu
Katika mkutano wa 18 wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma, leo katika kikao cha 11, wabunge watasikia na kujadili taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge kwa kipindi cha kuanzia Februari...
Kufuatia taarifa iliyotolewa rasmi leo (pia kuletwa humu JF) kuhusu kushindwa kufanyika kwa vikao vya bunge la Afrika mashariki (EALA) kwa sababu za ukata uliotokana na baadhi ya nchi wanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.