Tundu Lissu akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari aitwaye Elizabeti amesema kuwa yeye hana hadhi ya kuzungumza na Makamu Mwenyekitinwa CCM Mh. Steven Wasira.
Amedai kwamba Mh. Steven...
Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election'...
Nisipoteze muda wenu, sikiliza wenyewe.
Mods tulikuwa tunajiuliza Huyu mzee kasema nini mpaka wamshikilie hivi? Spare this watu wajue the inside out of this saga
Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu...
DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana..
Wassira kaja na hoja kwamba:
Mkutano Mkuu can do anything.
Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu
- wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba...
Katika kipindi hiki cha wasiwasi na maswali, wananchi wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro wanashangazwa na kimya cha Kamanda wa TAKUKURU, aliyeshindwa kutoa maelezo kuhusu tuhuma za malipo ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche leo Jumatano Februari 12, 2025, anazungumza na wananchi wa Tarime
Fuatilia hapa kinachoendelea kutoka mjini...
Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora.
Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini...
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani...
Wakuu
Kila nikijaribu kufuatilia Siasa za Tanzania kwasasa naona Tundu Lissu, ndiye mtu mwenye mvuto na ushawishi zaidi nchini. Wananchi wanampenda hata bila kutumia nguvu ya Wasanii/machawa...
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.
Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.
Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake...
Wakuu,
Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu leo bungeni amemtaka Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko kufuata taratibu za bunge ikiwa ana tatizo lolote na...
Au agenda iliyopo sasa ni kuwatembelea viongozi wastaafu tu?
Maana kazi kubwa mpaka sasa ambayo inafanyika ni ile ambayo wataalamu na wachambuzi wengi wa siasa za vyama vya siasa Tanzania...
Sisi wana CCM tunampongeza Mzee Wassira kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kwa kura za kishindo kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. HONGERA SANA.
Tangu Mzee Wassira achaguliwe maneno anayotoa...
1. John Kijazi
2. John Magufuli
3. John Heche
4. John Mnyika
5.John Kaijage
6. John Kitwanga
7.............
Aliyepata hasara ni John Babptist tu.
Kama una akina john wengine wataje
Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025.
Kuna wagombea watakomolewa na...
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya.
"Sasa...
Wakuu
Wakili wa kujitegemea Joseph Mahando atoa ufafanuzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya CCM ni kuwa chama hicho hakijakosea hata kidogo kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea...
Wakuu,
Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.