Salaam Ndugu Waziri,
Mwishoni mwaka jana Tume ya Madini ofisi ya Madini Mbogwe Geita ilitangaza kukaribisha maombi ya leseni kwa wachimbaji wadogo kwenye eneo lililokuwa hifadhi ya Kigosi, lakini...
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni kutokea Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Leo katika kikao cha 12 cha mkutano wa 18, Bunge linajadili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa 2024, ambapo Waziri wa Nchi (Muungano na Mazingira) atatoa maelezo.
Pia...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii kuwapa wanawake nafasi na sauti katika uongozi, akisema kuwa bila juhudi za makusudi...
10. Liti Kidanka.
Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka...
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.
Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama...
This tycoon says that people like to go to live in America because there is free speech, no censorship of news like what dwindles in Africa particularly Tanzania.
He further say people all over...
Mzee Malisa kasema utaratibu wa katiba ya ccm hujafuatwa kama ifuatayo;-
Samia hajachukua fomu wala kulipia fomu ilihali watu na taasisi zilimchangia mamilion ya kuchukua fomu- hata ile fomu...
Wakuu,
Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture.
Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila...
Kiukweli wabunge Wote wa Sasa ni Wateule wa Shujaa Magufuli hakuna aliyechaguliwa na wananchi
Wapumzike Sasa tupate Bunge Jipya kabisa tukatawale Siasa za Africa Mashariki
Hata Mpango wa...
Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90...
Tatizo la wanasiasa kurudia ahadi zilezile kila kipindi cha kampeni ni kiashiria cha mfumo wa siasa ambao haujalenga kutatua matatizo ya wananchi, bali kudhibiti mamlaka na kulinda maslahi binafsi...
Heshima kwenu,
Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT).
Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira amesema Uchaguzi Mkuu ujao (2025) utafanyika kama utakavyopangwa na Tume Huru ya Uchaguzi nchini (INEC).
Wasira ametoa kauli...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.