Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe...
Rais Samia Suluhu Hassan
Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ni miongoni mwa waombolezaji walioingia Mkoani Manyara kuomboleza Msiba wa Mwenyekiti wa zamani wa Mkoa huo, Derrick Magoma.
Taarifa iliyosambazwa na chama...
2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema...
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba...
Ninawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa...
Wakuu,
Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni.
Tumechoka kuona...
Mungu hufanya majira na wafalme. Mungu hufanya yale soote hatuyawazi wala hatuyafikirii.
Namuona Mungu wa Tanzania 🇹🇿 Mungu wa Baba Yetu Nyerere anajambo lake anajambo lake sio wanadam wala sio...
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
Katika ziara hiyo...
Wana Jf nimeikuta hii michuzi lakini mwenyewe kaweka mambo huwezi kucopy text toka kwenye blog yake
By US Blogger
Ankal Michuzi, naomba unipe nafasi kuandika kidogo juu ya mambo niliyokumbana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema baada ya kutumika vya kutosha katika nafasi mbalimbali serikalini, ameamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la...
Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza.
Soma...
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar...
Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa...
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.
Pia...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.